mazingira

The Mazingira Green Party of Kenya is a Kenyan green party. It was formerly known as Liberal Party of Kenya (LPK). At the 1997 Kenyan General Elections LPK fielded a presidential candidate, Wangari Maathai, who later became a Nobel Peace Prize laureate. Maathai was only a minor candidate. She did not win a parliamentary seat. In 2002, the next general elections were held and the Maathai-led party was part of the victorious NARC coalition. Maathai herself won the Tetu Constituency parliamentary seat.At the Kenyan general election, 2007, Mazingira was part of the newly created Party of National Unity led by President Mwai Kibaki. However, Mazingira also fielded own candidates. Mazingira won one parliamentary seat at the elections, after Silas Muriuki beat PNU candidate David Mwiraria to clinch the North Imenti Constituency parliamentary seat. Maathai was first outvoted at the PNU primary elections and therefore vied on Mazingira ticket, but at the parliamentary elections lost again to the PNU candidate.
The word Mazingira is Swahili for environment.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Je, Mazingira ya kutoa na kupokea Rushwa Nchini yamebadilika?

    Mazingira ya kutoa na kupokea Rushwa yanaweza kutofautiana kulingana na Utamaduni, Mifumo ya Kisheria, na muktadha wa Kisiasa wa nchi husika. Watu au makundi yanayohisi kutengwa na Mifumo ya Kijamii au Kiuchumi wanaweza kuona Rushwa kama njia pekee ya kupata Huduma au fursa ambazo zinapaswa...
  2. J

    Mazingira hatarishi zaidi kwa Rushwa Nchini Tanzania

    Rushwa inaweza kustawi katika Mazingira mengi ikiwemo Pale ambapo hakuna Mfumo wa Uwajibikaji unaofanya kazi kwa ufanisi, Watu wanaweza kujisikia huru kufanya vitendo vya Rushwa bila hofu ya kufuatiliwa au kuchukuliwa hatua Aidha, panapokuwa na Udhaifu wa Taasisi za Sheria Rushwa inaweza...
  3. Natamani sana Dar es Salaam ingeweza kuzingatia sana kwenye usafi wa mazingira maana kwa mazingira yalivyo kwa sasa sio salama

    Habari wana Jamii Forum Ningeomba niwasilishe hili swala kwa jamii ili tuliongelee. Dar es Salaam ni Jiji zuri sana kwa hapa Tanzania ambalo linapendwa na wengi na huo ndio ukweli usiopingika,lakini pamoja na uzuri wake wote kuna kitu kimoja tu kinashusha thamani ya Jiji hili nacho ni MAZINGIRA...
  4. Hiii ni Kariakoo Gerezani ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ni aibu kwa kweli

    Nimerekodi video hii jana asubuhi Machi 20, 2024 nilipokuwa napita mitaa ya Kariakoo, hapa ni jirani na kilipo Kituo cha Mwendokasi pale Gerezani, kama unavyoona mwenyewe hali ya barabara si nzuri. Magari na watu wote kwa pamoja wanapata changamoto ya kupita, mvua ikinyesha hali ndio inakuwa...
  5. L

    Wajumbe wa mkutano wa UNEA-6 waipongeza China kwa kupeleka nishati safi katika nchi zinazoendelea na kulinda mazingira ya dunia

    Baada ya maandalizi ya miezi kadhaa na mikutano rasmi iliyofanyika kwa siku tano, kikao cha sita cha Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEA-6) kilichofanyika mjini Nairobi, Kenya, hatimaye kimefikia tamati. Kikao hicho kilichoanza tarehe 26 Februari hadi Machi 1, kilipitisha maazimio 15...
  6. KERO Utunzaji wa taka ni mbovu sana Kawe - Mzimuni, zinazagaa ovyo Mitaani, hii ni hatari kwa afya

    Mimi ni mkazi wa Kawe - Mzimuni karibu na Shule ya Ali Hassan Mwinyi, kwa muda wa wiki yote hii kama sijakosea ni kuanzia Jumapili (Machi 17, 2024) nimeshuhudia taka zikizagaa mitaani tena nyingine zikiwa katikati ya Barabara. Mazingira ya utunzani taka mtaani kwetu ni ya ovyo sana, hili...
  7. A

    DOKEZO Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma inatia aibu kwa mazingira machafu

    Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma mazingira yake ni machafu na yanatoa hasira kwa sisi tunaotumia eneo hilo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kila siku. Licha ya kuwa wanakusanya fedha zetu kwa maana ya ushuru kila siku lakini majani yamezidi, hata kuyafyekwa imeshindikana. Hii ni aibu, Uongozi wa...
  8. Dkt. Biteko: Uharibifu wa Mazingira unachangia ukosefu wa umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema moja ya vyanzo vinavyosababisha tatizo la umeme nchini ni ukosefu wa maji unaochangiwa na uharibifu wa mazingira. Amebainisha kuwa pamoja na uwepo wa ongezeko la watu, umeme tunaotumia unatokana na maji ambayo hupungua kutokana na...
  9. B

    Taasisi ya Dido, Female Future Program wawawezesha wanafunzi wenye mazingira magumu Mtwara

    Mtwara. Kwa kutambua ugumu unaowakabili baadhi ya wanafunzi kukidhi mahitaji yao muhimu, taasisi ya Dido Mwanafunzi Initiative (DMI) kwa kushirikiana na Female Future Program Cohort 9 imetoa msaada wa sare za shule, madaftari na viatu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mkoani Mtwara...
  10. Mbunge Cherehani: Tutumie Nishati ya Gesi Badala ya Kuni na Mkaa Ili Kulinda Mazingira

    Mbunge Cherehani: Tutumie Nishati ya Gesi Badala ya Kuni na Mkaa Ili Kulinda Mazingira Wananchi wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wametakiwa kutumia nishati ya Gesi badala ya kutumia mkaa na kuni katika shughuli za mapishi ili kutunza na kulinda mazingira. Wito huo umetolewa na Mbunge wa jimbo...
  11. Mwenyekiti JET: Elimu ya utunzaji mazingira iingizwe kwenye Mitaala ya Elimu kuanzia ngazi ya chini

    Umoja wa Maafisa Watendaji Wakuu Tanzania wakiwemo wa Mashirika Binafsi na Serikali (CEOrt) wakishirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira (Journalists' Environmental Association of Tanzania – JET) wamekutana na Wadau mbalimbali katika warsha ya kujadili mambo mbalimbali kuhusu...
  12. Madereva kutumia mwanga mkali (Full Beam) katika mazingira yasiyo sahihi barabarani ni hatari kwa wengine

    Kweli, matumizi ya taa za gari ni muhimu sana kwa usalama barabarani. Kutumia mwanga mkali (full light) katika mazingira ya foleni au msongamano wa magari kunaweza kuwa hatari kwa sababu ya athari ya kumulika moja kwa moja kwa madereva wengine. Hii inaweza kusababisha kutopata mwelekeo mzuri wa...
  13. Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

    Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli...
  14. Anayejua mazingira ya kazi za security OMAN na DUBAI

    Wakuu kama kuna yeyote aliyewahi fanya kazi za security au anayejua mazingira ya kazi za security maeneo ya Dubai na Oman anipe mrejesho maana kuna dili nimepata huko ili nijue kama pananifaa au laah
  15. Lindi: Bwana Afya aongoza usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea kumaliza kero ya mbu wengi

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuleza kuwa anakerwa na usumbufu wa uwepo wa mbu wengi katika Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea Mkoani Lindi, hatua zimeanza kuchukuliwa kwa kufanya usafi. Afisa Afya Wilaya ya Nachingwea, Joseph Masia amekiri Hospitali hiyo kuwa na Mbu wengi na hivyo...
  16. Kwa mazingira haya wakuu, nifanyeje ili heshima yangu mtaani iweze kurudi?

    Jana nilitembelewa na mzazi mwenzangu (mchepuko) kutoka mkoa wa jirani; na lengo la safari yake ni kwa ajili ya kupeana vitamini S, pamoja na kujadili mambo ya kimaisha, kibiashara n.k Kwa sababu ni muda mrefu tulikuwa hatujaonana, takribani miezi mitano hivi; ikawa ni furaha kwetu wote kuonana...
  17. Mwandishi wa habari Cyprian Musiba arejeshewe mazingira ya kufanya kazi tena amejifunza

    Kama mada ilivyo hapo juu kwa kuwa inadaiwa kuna 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms and Rebuilding) kwamba zinatibu vidonda vya kuumizwa kiakili, kimwili, kiuchumi na kijamii basi nafasi hiyo ifunguliwe kwa mwandishi mkongwe Cyprian Musiba ili kuchangamsha zaidi myambuliko wa siasa za...
  18. Polisi wapanda miti 1,000 Monduli Juu, waziomba jamii za kifugaji kutunza mazingira

    Jeshi la Polisi Katika kuhakikisha linaendelea na ulinzi wa raia na mali zao hapa nchini kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo nchini (STPU) kimeshiriki katika kampeni ya upandaji miti zaidi ya elfu moja katika kata ya monduli Juu Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha ambayo ilizinduliwa hivi karibuni na...
  19. Mo Energy na uchafuzi wa mazingira

    Wakuu, Hakuna kitu nakerereka kama kutembea kila mita kumi nakutana na chupa ya Mo energy imezagaa hakuna dalili kwamba itaenda popote. Kwanini nisione chupa ingine kama ya maji ya azam au hill au kilimanjaro, hata ikionekana kwa bahati mbaya basi ukirudi hutoikuta hii ndo inatakiwa. Sasa Mo...
  20. Julius Nyerere alikuwa mtu sahihi kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile

    Uandishi sio mzuri mjitahidi Kabla ya Julius Nyerere hajawa kiongozi wa TANU na hali ya siasa za Tanzania zilikua kama ifuatayo;- Changamoto kubwa ya TAA na baadae TANU ilikuwa ni power struggle kila mtu alikua anataka awe kiongozi na hakuna mtu aliyeweza kuunganisha wanachama ambao walikua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…