mazishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mazishi ya Prof. Sarungi: Serikali ililazimisha azikwe Dar ili kumkamata Maria Sarungi

    Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni. Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar. Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba. Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi...
  2. JanguKamaJangu

    Simiyu: Mazishi ya Mwanafunzi Mhoja Maduhu yalivyokuwa, ni yule aliyefariki muda mfupi baada ya kuchapwa na mwalimu wake

    Mwanafunzi Mhoja Maduhu anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa na mwalimu kupita kiasi na kusababisha damu kuvujia kwenye ubongo, amezikwa huku huzuni na simanzi kubwa vikitawala. Pia soma ~ Simiyu: Mwanafunzi adaiwa kufariki kwa kuchapwa viboko na kukanyagwa kichwani na mwalimu shuleni
  3. S

    Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

    Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu. Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake...
  4. Nyani Ngabu

    Rais Nyerere na mkewe kwenye mazishi ya Indira Gandhi

    Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube nimekutana na hii video kutoka ITN Archive yenye mkusanyiko wa matukio ya mambo yaliyojiri baada ya kuuliwa kwa Indira Gandhi, aliyekuwa waziri mkuu wa India, siku ya tarehe 31 Oktoba, 1984. Siku ya mazishi ya kitaifa, viongozi wengi sana kutoka...
  5. Ojuolegbha

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi ashiriki mazishi ya Dkt. Sam Nujoma

    Picha mbalimbali zikimuonesha Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki shughuli ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Namibia, Baba wa Taifa hilo na kiongozi wa mapambano ya kupata uhuru wa nchi hiyo, Dkt. Sam Shafiishuna...
  6. L

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi Aongoza Ujumbe wa CCM katika mazishi ya Baba wa Taifa la Namibia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM inaendelea kuonyesha ni kwanini ni chama kiongozi Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini imeendelea kuwa chama cha mfano na cha kuigwa Barani Afrika, inaendelea kuonyesha ni kwanini inapendwa na kukubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, inaendelea...
  7. Echolima1

    Ndege-vita za Israel(IAF) zatamba kwenye mazishi ya Hassan Nasrallah huko Beirut, Lebanon

    Ndege-vita za Jeshi la Israel leo hii zimekuwa zikitamba kwenye anga la Beirut wakati wa mazishi ya Gaidi Hassan Nasrallah aliyeuwawa na majeshi ya Israel Sept 27,2024 saa 12:21 jioni. Ndege hizo zilikuwa zikipita uwanja I hapo zikiwa kwenye speed na zikiwa kwenye “After-Burner” hivyo...
  8. JanguKamaJangu

    Tazama mazishi ya watu waliouawa kwenye mapigano DRC, inasikitisha

    https://www.youtube.com/watch?v=IAOGxEEoKKQ Wahudumu wa Afya wakiendelea na shughuli ya mazishi ya watu waliouawa wakati wa mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) yaliyohusisha jeshi la nchi hiyo na Wapiganaji wa Kundi la M23. Mkuu wa ujumbe mdogo wa Shirika la...
  9. L

    DC Mstaafu Sabaya ashiriki mazishi Ya Esther Mahawe Mkoani Arusha

    Ndugu zangu Watanzania, Leo ilikuwa ni siku ya Majonzi na huzuni kubwa sana kwa wana Mbozi na Mkoa mzima wa Songwe.Ambapo ilikuwa ni siku ambayo Aliye kuwa DC wa Mbozi Mheshimiwa Esther Mahawe alikuwa anapumzishwa katika Nyumba yake ya Milele Mkoani Arusha. Ambapo katika Mazishi hayo viongozi...
  10. Roving Journalist

    RC Daniel Chongolo ashiriki katika mazishi ya aliyekuwa DC wa Mbozi, Ester Mahawe

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, pamoja na Viongozi mbalimbali wa ngazi ya Mkoa na Wilaya, wakiongozana na Wananchi wa Mkoa wa Songwe, wamewasili Mkoani Arusha, tarehe 19 Januari 2025 kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mkuu...
  11. Yoda

    Hakuna sehemu ngumu kama mazishi yanayowakutanisha mahasimu pamoja

    Hakuna mahali pagumu na pachungu kama kwenye mazishi yanayowakutanisha watu mahasimu wasiopatana au kuelewana, iwe ni ndugu, majirani wafanyabiashara, wanasiasa n.k. Ni mwendo wa kunafikiana tu.
  12. A

    Jicho la kijasusi: Watanzania tunasubiri kushiriki mazishi rasmi ya CHADEMA mwezi Januari 2025 baada ya msiba uliotokea mwezi huu wa Disemba 2024

    Kabla ya kuasi kusudi lake mwaka 2015 Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilianza kupoteza mvuto kwa watanzania na wapenda mabadiliko waliokuwa wana imani kubwa sana chama hiki ikiwa ni pamoja kuvutiwa na kusudi lake kiasi cha kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM. Kama ni mgonjwa naweza...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Dini zinatuchanganya sana. Ni yapi ni mazishi sahihi kati ya Dini zote na madhehebu yote,Ikiwa lengo ni kwenda peponi/Mbinguni?

    Wakuu Mimi Bado Kuna vitu Huwa najiuliza na mara zote sijawahi kupata majibu! Hapa Duniani tuna dini aina tofauti tofauti na madhehebu Hali kadharika. Na dini zote/Imani zote na madhehebu yote Yana hubiri uzima wa milele baada ya kifo hii hata Mimi naamini kuwa Kuna maisha baada ya kifo/ufufuo...
  14. Waufukweni

    Rais Samia kuongoza mazishi ya Dkt. Faustine Ndugulile Disemba 2

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza wananchi kwenye mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile yanayotarajiwa kufanyika Disemba pili, jimboni kwake Kigamboni Dar es Salaam. Mwili wa marehemu Dkt...
  15. Mwachiluwi

    Je, ni kweli Waislamu mnakatazwa kuhudhuria mazishi ya kikristo?

    Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
  16. Z

    Mke azuia mazishi ya mume wake kufanyika.

    Niliona taarifa kwa Millard ayo ikisena mazishi ya Bilionea wa madini (Arusha) yamezuiwa na mke kwasababu mke alidai hakushirikishwa kwenye taratibu za mazishi, mke akaamua kwenda Mahakamani ili kuzuia mazishi yasifanyike ili apewe kibali Cha yeye kusimamia mazishi hayo. Leo taarifa inasema...
  17. Ojuolegbha

    Dkt. Nchimbi ashiriki mazishi ya mama wa Aboubakary Liongo

    Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM aliyefariki jana na kuzikwa Leo kwenye Makaburi ya kisutu. Katibu Mkuu ameongozana na Katibu wa NEC...
  18. Ritz

    🇮🇱 Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotric

    Wanaukumbi. Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotrich baada ya kubainika kuwa kombora lililoanguka kutoka Iron Dome liliua raia. Baada shambulio Serikali ya Israel walitoa tamko kwa...
  19. A

    Aliyekuwa Makamu Rais Malawi kuzikwa Juni 17, 2024

    Mazishi ya aliyekua Makamu wa Rais Malawi Dr Saulos Chilima yatafanyika Jumatatu tarehe 17.06.2024 kijijini kwake katika wilaya ya Ntcheu yapata kilomita 175 toka Lilongwe. NB: Majirani tukafariji ndugu zetu MALAWI. Udugu kufaana si kufanana
  20. Replica

    TANZIA Mhasibu jiji la Mwanza afariki ajalini akiwahi kwenye mazishi

    Mhasibu wa Idara ya Mapato ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Amon Joseph (41) amefariki dunia katika ajali ya gari akienda kwenye maziko ya baba mzazi wa mhasibu mwenzake, yaliyotarajiwa kufanyika leo wilayani Kwimba mkoani hapa. Akizungumza na Mwananchi kwa simu Jumanne Juni 4, 2024, Kamanda...
Back
Top Bottom