Taarifa ya Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov imeeleza kuwa Rais Vladmir Putin amebanwa na ratiba nyingine hivyo hatoweza kufika tukio la kuaga mwili wa Kiongozi huyo wa mwisho wa Umoja wa Kisovieti aliyejipatia sifa nyingi kutoka Mataifa ya Magharibi.
Gorbachev, ambaye alifariki Agosti 30,2022...