Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump
Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka
Mungu ibariki Israel
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Biden administration prepping $8 billion arms package...
Ukifuatilia waumini wa dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu utagundua huwa wanajikita au wanajielekeza katika mambo mepesi zaidi huku wakiwa hawatilii mkazo yale mazito ambayo yangeboresha maisha ya watu wanaowazunguka.
Mfano katika dini ya Ukristo kuna kitu kinaitwa Golden rule/ sheria ya...
Ripoti za awali zinaonyesha mashambulizi makali ya mizinga ya Saudia yakilenga Saada, eneo linalodhibitiwa na Ansar Allah kaskazini magharibi mwa Yemen.
Sambamba na hilo, ripoti zinaonyesha Baraza la Mpito la Kusini mwa UAE (STC) linaloungwa mkono na UAE limeanzisha mashambulizi ya kushtukiza...
Nilikuwa nafuatilia kwa ufupi baadhi ya viongozi na umri wao wa kuanza kubeba majukumu ya kitaifa nikagundua walikuwa na umri mkubwa.
Kwa mfano: Juliasi. K. Nyerere alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miaka 12. Na woote viongozi wa kizazi chake walianza shule kwa umri huo.
Rashid Kawawa...
Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa
=====================================
Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia...
Jana tarehe 14/11/2024 wakati wananchi mbalimbali wakiuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru katika viwanja vya Karimjee. Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato alitoa mahubiri mazito sana, moyo wangu unatamani sana kila mmoja ayasikilize pia natamani sana kila kiongozi aliye pewa dhamana haswa...
Assume dunia nzima au watanzania wote tupo kwenye msiba wako tunakwenda kukuzika sasa kwa ufupi tu ungepewa nafasi uandike mambo ya mwisho siku za mwisho za uhai wako ungesema hoja gani wosia wa kutuachia sisi tunaobaki.
je yupo mtu ambaye ulimpenda na yeye hakukupenda ungependa ajue au yupo...
NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Miundombinu), Mhandisi Rogatus Mativila amewaagiza Maafisa Ustawi wa Jamii kuhakikisha wanahamasisha uanzishwaji wa vituo vya kulelea Watoto Wadogo Mchana vya Kijamii katika vijiji/mtaa na kuwasilisha taarifa hii ifikapo Januari 30, 2025.
Mhandisi...
Najiuliza uwajibikaji uko wapi? Ingekuwa nchi Kama Tunisia na Kenya au kwingineko kosa dogo tu linaondoa baadhi ya watu madarakani si kwa utashi wao!bali kwa Nguvu ya Umma na maandamano! Lakin hapo kwenye Kondoo wa Kiboko ya wachawi hata uwakojolee midomoni kila asubuhi
Utasikia yote twamuachia...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makala Amepokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo vingi sana na maelfu ya wananchi wa Karatu katika uwanja wa mazingira bora wilayani Karatu.
Ambapo ni muendelezo wa ziara yake katika kupokea...
Ndugu zangu Watanzania,
Mtumishi wa Mungu Mheshimiwa peter Msigwa ameendelea kuvurumisha Makombora Mazito mazito kwa CHADEMA,ambayo yameonekana kuteketeza na kusambaratisha kabisa kambi zoote za CHADEMA na kuwafanya askari wake kuishi kwa kutanga Tanga muda wote.
Mtumishi huyo wa Mungu...
Kwenye maisha usifurahie kila msaada unaopewa na mtu kwa nini kwa sababu hakuna kitu cha bure, kila msaada nyuma yake huwa na kusudi maalumu kwa anaesaidiwa sasa usifurahi kisa umepata kazi, mchumba, Promotion fulani au kitu chochote kwa kupewa na mtu No!
Tafuta kujua kwa nini anakusaidia huyo...
Mwaka 2025 nimwaka wa wana kusadikika kuamini yakuwa Taifa lao chini ya idara zao bado wanaweza kufanya mambo hayakusadikika ktk masikio ya wana kusadikika.
Project zilianza pale wana elite ndani yakusadikika kumpoteza kipenzi chao. Inasemekana kwa hali ilivyokuwa hapakuwa na njia ilibidi elite...
27 July 2024
Ubaruku, Mbarali
Tanzania
Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana ....
Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea asiyejulikana...
Modestus D. Kilufi asema CCM haipendi mtu msemakweli na aliyemchapa kazi na aina hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.