maziwa na sumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Maziwa siyo dawa ya sumu

    Kunywa maziwa mara tu baada ya kumeza sumu kunafunika tumbo na kuzuia madhara? Maziwa si dawa au dawa ya sumu, wala hailindi tumbo kutokana na kemikali au sumu iliyomezwa. Ila yanasaidia tu kupunguza sumu. Kivipi? maziwa yana sukari inayoitwa lactose ambayo mwili hauwezi kusaga yenyewe...
Back
Top Bottom