Najua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani.
Swali langu ni je? kwanini nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe? je maziwa ya nguruwe yana athari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.