maziwa ya nguruwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

    Najua wapo wanaokula na wasiokula nyama ya nguruwe, lakini pia wanaokula nyama ya nguruwe wanaisifia kuwa ni tamu sana hasa iki rostiwa vizuri ichanganywe na kamchicha kwa mbali ni full burudani. Swali langu ni je? kwanini nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe? je maziwa ya nguruwe yana athari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…