binafsi mazoezi ya kegel husasan ni lile la BRIDGE EXERCISE nimekua nikifanya kila asubuhi nimeona kuna changes kwenye uume yani uume ukisimama unakua mgumu afu unatengeneza kama msitari katikati yani tumeseme uume umekatia kama ilivyo kwenye chest ...
Em nawe tujuze kwa upande wako kuna changes...
Kuna taarifa mitandaoni zimekuwa zikisambaa na kutanabaisha kuwa mazoezi ya "kegels" yanaweza kuongeza au kutibu shida ya nguvu za kiume kwa ufanisi, Je ni kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.