mazoezi ya mwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Charlez kanumba

    Jinsi nilivyoanza kuwa mtu wa mazoezi ya mwili/ push ups mpaka kuwa na sexy body

    Nakumbuka nilianza kwa kuning'nia juu ya paa la nyumba kisha kupush mwili wangu ups&down, then push ups 80 hadi 120 kila siku. Nikawa nachelewa kuamka sababu mazoezi sikuyazoea hivyo nilikuwa nasikia uchovu sana na mgongo pamoja na mbavu ziliniuma sana. Ilipo timia miezi 3 tangu kuanza...
  2. J

    Je, unafahamu kufanya mazoezi kwa takriban dakika 150 au zaidi kwa wiki kunaweza kurefusha maisha yako?

    Kwa mujibu wa utafiti wa Harvard, kufanya mazoezi mara kwa mara kunaweza kuongeza muda wa kuishi! 🌟 Mazoezi yanafaida nyingi kwa afya yetu, ikiwa ni pamoja na: Kuboresha afya ya moyo ❤️ Kupunguza hatari ya magonjwa sugu kama kisukari na shinikizo la damu 🚫 Kuboresha mfumo wa kinga 🛡️...
Back
Top Bottom