Jamaa anaitwa Nkululeko Dlamini, almaarufu kama 'Nyawolomshini' ama King of Squats kutoka Africa ya kusini.
Amekuwa maarufu kwa kusaidia Wanawake na Wanaume kutengeneza shepu zao za makalio kwa kutumia mazoezi tu. Na kama haitoshi ametumia mazoezi hayo kutengeneza kalio lake na kuwa na shepu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.