Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amemfuta kazi Balozi anayeiwakilisha Nchi hiyo Afrika kusini Bi. Mazuba Monze baada ya kutoa maagizo kwa Wafanyakazi wake wa kiume wamnyoe sehemu zake za Siri.
Inaelezwa kuwa Balozi huyo alitoa maagizo hayo ambayo siyo ya kidiplomasia kwa Wafanyakazi wake wa...