Hebu tuwe wakweli ndugu zangu watanzania, ni kweli hakuna jema linalofanywa na Serikali yetu? Mbona asilimia kubwa humu tunapenda kulaumu sana.
Sijasema viongozi wetu ni malaika hapana, lakini ni kweli hakuna wanachofanya? Ni kweli wanauza nchi?
Kuongoza nchi sio kama kuongoza familia. Kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.