mazuzu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Nina uhakika wa 100% katika huu Mtego wa Kiufundi wa Mama kuna 'Mazuzu' yatauingia Kichwa Kichwa na kukosa kote kote

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa wilaya na viongozi wengine katika serikali za mitaa kutoa taarifa mapema kama wana mpango wa kugombea ubunge. Msingi wa kauli ya Rais Samia ni kutaka nafasi zao zijazwe mapema na watu wenye sifa huku akiwaonya kutoshitukiza...
  2. GENTAMYCINE

    Tukisema CCM inazalisha Wanafunzi Mazuzu ambao wanaligharimu na wataligharimu Taifa letu mnatuchukia

    Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Mchepuo wa Kiingereza, Chief Zulu mkoani Ruvuma wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan Sh1,800 kama zawadi. Baada ya tukio hilo, Rais Samia amesema atawanunulia ng’ombe wawili, mchele kilo 500 na mafuta ya kupikia kwa ajili ya kula shuleni hapo. Leo...
  3. Candela

    Hizi kampuni za simu zinaona wateja mazuzu

    Tukiongelea Iphone huwa anatangaza new features ambazo Samsung wanazo 5 years back lakini utashangaa watumia iPhone wanajimwambafai na hizo features. Ukija Samsung wanatrendisha features za Google pixel ambazo watumiaji wa pixel wanazo 2 years back. Yaani S24 ultra inatangaza features za pixel...
  4. GENTAMYCINE

    Mo Dewji nakuuliza nivujishe Siri ya Bilioni 20 ulikoiweka na sasa unajipatia Hela za bure bila wana Simba SC kujua au niuchune tuendele kuwa Mazuzu?

    Hakika Wewe Mhindi ni Mjanja sijapata kuona. Kwahiyo mwenyewe ulidhani Siri itafichwa sana na wenye Ubobezi wa kutafuta Taarifa Ngumu Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE hatutoijua? Nina uhakika nikilisanua hapa kwa ulichokifanya leo hii hii Amani inatoweka Simba SC na hata Serikali itatukamata...
  5. Pascal Mayalla

    Japo sio lazima kuhoji kila kitu kwa kuuliza maswali lakini mtu mwenye akili zake timamu ni lazima ajiulize. Ukimya wetu, msitufanye mazuzu kuna...

    Wanabodi, Hapa duniani kuna fani mbalimbali za shughuli, na shughuli kuu ya kwanza duniani baada ya Mungu kumuumba binadamu, ilikuwa ni shughuli ya kutengeneza watoto au kuumba viumbe. Kwa vile Adamu na Hawa au Adamu na Eva, wao waliumbwa na Mungu mwenyewe, hivyo shughuli yao kuu ya kwanza...
  6. Pang Fung Mi

    Unakataa ndoa na kuoa halafu unatoka kimapenzi na wake au waume za watu ndio mazuzu walivyo

    Kampeni ya kataa ndoa na kuoa inamantiki kwa wasiotoka kingono na wake au waume za watu nje hapo hawa wanachama Ni mazombi. Ukibisha utapaa mbinguni na mapepo
  7. GENTAMYCINE

    Kumbe Mzururo wetu wa Bombay ni Kutunukiwa PhD ili ije kutusaidia Kutamba nayo kwa 'Mazuzu' Jukwaani katika Kampeni ya 2025?

    Na ni matumaini yetu tutaitumia Ziara hii pia kuweza Kutibu tatizo letu Kubwa la Kifua na Upumuaji ikizingatiwa kuwa akina Panjuani na Samjo wa Bombay Kiasili ni Wataalam mno wa Kutibu Changamoto hiyo tofauti na kule Marekani na Canada ambako tulikuwa tukienda sana. Halafu awali tuliambiwa ni...
  8. Chizi Maarifa

    Kama ni Kweli Yanga tulifanya hivi sisi ni mazuzu, mazumbukuku ulimwengu upo huku. Inasikitisha sana kwa watu wenye akili

    Hili tatizo nadhani tunalo muda mrefu. La uswahili, kijicho, wivu na uzumbukuku wa baadhi ya watu. Kama anayosema huyu Prof ni kweli sisi Yanga ni watu wa ajabu sana. Lazima watu watakuwa wanatucheka, wanatushangaa sana. Msikilize mwenyewe ingawa kaongea kwa lugha ya Kikristo.
  9. GENTAMYCINE

    Mazuzu Mkutanoni wametajiwa Kocha Mpya na Kusahau Kuuliza Maswali na Kuhoji Kupigwa Fedha nyingi

    Injinia una Akili sana yaani ulianza Kwanza kwa Kuwadanganya kuwa mmepata Faida ya Tsh Bilioni 17 na kwamba kwa Msimu ujao mtatumia Tsh Bilioni 20 na ulivyoona hujaeleweka na Wanajipanga Kukuhoji ukaona isiwe taabu. Mazuzu waliojazana Kukusikiliza Ukiwaokota ( Ukiwadanganya ) hawakujua kuwa...
  10. A

    Prof. Assad: Wanaotaka viongozi wakubwa waongezewe madaraka ni 'mazuzu'

    Huyu hapa Prof wa ukweli PROFESA Mussa Assad, aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amekerwa na viongozi wenye uwezo wa kuzungumza ukweli kwa maslahi ya Taifa kushindwa kufanya hivyo. CAG huyo wa zamani amesema hayo leo Jumatano, tarehe 6 Oktoba 2021...
  11. GENTAMYCINE

    Kama Waalgeria 10 juzi Waliwanyamazisha Kiushangiliaji Mazuzu FC 60,000 kwa Mkapa. Kwao wakiwa 17,000 hiyo Juni 3 itakuwaje?

    Asikudanganye Mtu hapa Barani Afrika hakuna Watu wanaojua Kushangilia Viwanjani na Kufanya Fujo na Vitimbi vya kila aina ili Kummaliza kabisa Mpinzani Kama Mwarabu na hasa hasa Waarabu wa Misri na Algeria. Kama juzi tu kwa Mkapa walikuwepo Waarabu Kumi ( 10 ) tu ila Shughuli yao Kiushangiliaji...
  12. GENTAMYCINE

    Mashabiki Mazuzu Yanga SC: Hata kama hatutakuwa Mabingwa wa CAFCC, ila bado Medali tutavaa

    Kwahiyo kumbe muda Wote mlioshiriki Mechi zenu za CAFCC Lengo lenu Kuu ( Mama ) lilikuwa siyo kuwa Mabingwa bali kuwa Washindi wa Pili na mvae Medali za Fedha badala ya zile za Dhahabu za Mabingwa? GENTAMYCINE muda Wote nilikuwa simwelewi aliyekuwa Msemaji wa Simba SC ( sasa ni Mhamasishaji...
  13. Roving Journalist

    Tulia Ackson: Naagiza Serikali ifanye utafiti wa Mapungufu ya Sheria ya Ushoga na Usagaji ili iendane na uhalisia wa sasa

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 6 leo Aprili 13, 2023 jijini Dodoma. SERIKALI YAAGIZA NHIF ITOE KIBALI MATUMIZI YA CT SCAN HOSPITALI YA IRINGA Agizo hilo limetolewa baada Mbunge Jesca Msambatavangu kuhoji Bungeni sababu za wagonjwa wanaotumia Bima ya NHIF...
  14. Chikenpox

    Nikikumbuka enzi zile ndege ilinunuliwa moja halafu nchi nzima inahamia uwanjani kuilaki na kuiombea, nacheka sana

    Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa. Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa. Jamani, hivi huyu mtu angekuwa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa sasa wanawake wanajiamini Sana kuliko Wanaume; Vijana wengi wamekuwa mazuzu

    KWA SASA WANAWAKE WENGI WANAJIAAMINI SANA KULIKO WANAUME; VIJANA WENGI WAMEKUWA MAZUZU! Anaandika, Robert Heriel Ili mwanaume asijiamini itampasa awe na mapungufu Kati ya haya; i) Upungufu wa Akili/ uwezo mdogo wa kufikiri. Uwezo mdogo wa kufikiri ni moja ya sababu zinazopelekea kijana...
  16. Lycaon pictus

    CHADEMA, Dkt. Bashiru anafanya kazi yenu lakini mlivyo mazuzu hata hamuoni!

    Moja, wakulima ni kundi kubwa sana. Yeyote anayeeleweka kwa wakulima anakuwa amejiweka kwenye nafasi nzuri sana kisiasa. Mbili, kazi ya kusemea kero za wananchi si ya wakati wa kampeni tu. Ni kazi endelevu ya siku zote. Lakini imekuwa uchaguzi unapoisha tu, CDM wanasahau kero za wananchi. Kwa...
  17. chiembe

    Dk. Bashiru alikuwa wapi? Na hata sasa mbona hawasemei waliokuwa wanatekwa na kupigwa risasi enzi za Awamu ya Tano? Na wao mazuzu wanataka enzi irudi

    Dk. Bashiru alikuwa ndio msimamizi wa sera za serikali akiwa kama Katibu Mkuu wa CCM. Wakati wake wa uongozi, kulikuwa na matukio mengi ya wananchi kutekwa na kupigwa risasi. Hakuwahi kuwasemea watu hao mahala popote pale. Cha ajabu, wale ambao Bashiru alisimamia sera ya kuwanyanyasa na kuwaua...
  18. GENTAMYCINE

    UVCCM kabla ya kukurupuka Kumshambulia Dk. Bashiru Ali mliipitia hii Kauli ya Boss wenu Kinana?

    GENTAMYCINE naweka hapa Nukuu ya Kauli ya Makamu Mwenyekiti CCM Bara Abdulrahman Kinana baada ya Kutangazwa Mshindi wa Cheo hicho Mkutanoni Dodoma mbele ya wana CCM wote akiwemo Mwenyekiti Taifa CCM na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan....... "Niwaombe wana CCM wote Kukubali...
  19. political monger senior

    Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

    Kama heading inavyojieleze Kama unajua uliweka pesa zako Kaylnda sahau na utafute kazi nyingine ya kukuingizia kipato watanzania ni wagumu sana kuelewa sijui kiwakute nini ndio wakubali QNET nao walikuja ivi ivi wakaondoka na kuacha vilio kila kona now Kalynda wameaondoka na kijiji[emoji16][emoji16]
  20. GENTAMYCINE

    Naona taratibu sasa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anaanza Kuwafanya wana Yanga SC wote ni Mazuzu

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said katika Mkutano wake na wana Yanga SC katika Mikutano yao ya Kikatiba aliwahi kusema kuwa Udhamini wa Jezi wa GSM kwa Yanga SC umeipatia Klabu hiyo Tsh Bilioni Nane ( 8 ) kwa Mwaka na Mazuzu kama Kawaida yao Wakamshangilia na Kushangilia. Jana tu Rais wa Yanga...
Back
Top Bottom