Shaffih Dauda anayejipambanua ni mchambuzi wa mpira wa miguu amewaita wana Yanga ni Mazuzu eti kwa kumkaribisha Manara ambaye alikuwa mwana Simba kama kirusi kwa Yanga.
Hii dhihaka wana Yanga mnakubaliana nayo?!
Wito,WANA YANGA WOTE SUSIENI KUNUNUA VIFAA VYA MICHEZO KWENYE MADUKA YAKE ILI LIWE...