Mba kichwani ni hali inayosababishwa na kupevuka kwa seli za ngozi ya kichwa kwa kasi na kuunda magamba meupe au ya njano. Ingawa kuna sababu nyingi zinazochangia tatizo hili, msongo wa mawazo (stress) ni moja wapo ya vichochezi vikuu vinavyoweza kuongeza uwezekano wa kupata mba. Makala hii...
Wakuu,
Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA?
Kama hawana, what is the option kwa mtu anayeishi kanda ya ziwa kusoma hii course (MBA -Finance)
NAkaribisha ushauri wowote kuhusu hii kozi na chuo.
Mashabiki wasimba wakubali kuwa nao ni tatizo tena kubwa sana kuliko hata mabenchi ya ufundi yote yaliyopita kwani tangu msimu uliopita tulikuwa tunawaambia hii Simba ni mbovu wakawa wabishi huku hoja zikiwa ni Yanga kupitia GSM wananua hizi mechi, wanahonga waamuzi, wanacheza kombe la loser...
Habari Madaktari na wafamasia, watu wengi tumekuwa tukitumia mafuta ya breki kujitibu mba.
Nimepita mahali nimesikia yana madhara. Naomba kujua yana madhara gani?
Hello!
Habari za muda huu....
Wazaramo wanasema
"Kidire Mwali"
Kama hujui kizaramo basi fahamu maana yake ni Mwali yuko uwanjani...
Leo ndo ile siku yetu maalumu ya kuanza darasa letu lile la
MBA ya MCHONGO
Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha Biashara yako kwa wajukuu zako...
Huwezi kunywa Mo Energy Drink halafu Timu ikakosa Utajiri mpaka akina Wapiga Ngoma na Wanaoonana wasipende Kuichezea.
Mido ya Chini Mtoto wa Tshisekedi na Mido ya Juu Mtoto wa Mwinyi na Wote wana Hasira na Walikotoka hivi hiyo Wiki Mbili ijayo Team Magodoro Kudoda Madukani FC watatokea wapi?
Biashara maana yake muuzaji anafurahi kuuza bidhaa yake huku akiweka kibindoni faida yake, while mteja akifurahia bidhaa ya thamani halisi.
Kama mbele ya safari mteja akigundua kuwa ameuziwa bidhaa bandia au isiyo thamani halisi ya pesa yake hali hiyo tutaiita utapeli. Na huo utapeli ndio...
Study MBA Online program at India Top University Recognised by TCU
Duration: 2 Years
Registration fee $500 ( One time
Tuition fee per Year 750 USD
For more :
Call: 0678650509
Email: Info@elidamentors.co.tz
Baada ya mrembo Shakila kutoka Kenya kusema kwamba kuanzia sasa na kuendelea eti atakuwa anatoza dollar 50 ambazo ni zaidi ya laki moja ya kitanzania ili akujibu tu meseji yako uliyo M DM.
Sasa bhana Calisah akaja chaaap kumuumbua 🤣🤣🤣kumbe bwana huyo demu anajifanya staa kumbe naye wale wale...
1. Hivi Simba SC haijawahi Kufungwa Chama akiwemo?
2. Hivi Simba SC haijawahi kutoka Sare Chama akiwemo?
3. Hivi Simba SC ilipofika hatua ya Robo Fainali ya CAFCL mwaka Chama alikuwepo?
Na kupitia hili la Chama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 85% ya mnaolishadadia nje ya kuwa ni Wapuuzi na...
Habari wadau wa Elimu,
Nipo njiapanda kuchagua kati ya hizo Masters mbili tajwa hapo juu lengo nifanye ACCA na CPA(T) baadae.
Napokea mawazo na ushauri kutoka kwenu wakuu.Karibuni
Habari zenu wakuu?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba ushauri nisome Master's ipi kati ya hizo nilizozitaja? Na kama kuna chuo kizuri unakifahamu kwa masomo hayo usisite kunishauri, faida na hasara za kusoma kozi hizo pia ningependa kuzijua. Binafsi nafirikia kwenda UDOM...
Wanajamii poleni na msiba wa taifa...
Kama mada inavyojieleza, ni ipo tiba ya m'ba kwenye ngozi, mimi nasumbuliwa na m'ba mara kwa mara.
Yaani ni kama nina allerg ya ngozi, nikitumia dawa za kupaka wanaisha baada ya mida wanarudi tena.
Nimegundua hili tatizo lipo ndani ya mwili inahitajika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.