Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya wanaJF,
Mbaazi siyo mboga ni zao la biashara ila kuna muda Mama anajiona kila kitu kashamaliza. Anaona maskini hawezi kufanya chochote ndiyo maana kila kitu akijisikia kuongea anaongea tu.
Anyway, ni Rais wetu na sisi ni wapiga kura, ajaribu kuwa na staha hata...