Hiki Chama sasa kimebeba taswira ya nchi halisi ya waTZ,wale waliokua mashabiki wa mtu/watu kwa sasa wajue mtu hadumu ila systems/chama nzuri ikijengwa hudumu miaka na miaka.
Ni bora watu wahangaike kutengeneza mfumo utakao ishi siku zote.
Ile January 21 was really and true revolution ya...
Mimi ni mpinzani yes naamini kwenye upinzani wa kuiondoa CCM madarakani ila kwa kinachoendelea kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni wazi bado Tanzania hatujapata chama ambacho ni mbadala wa CCM
CHADEMA wanafanya mambo yale yale CCM wanayofanya tofauti yao hawana dola angalia mambo ya ovyo anayoyafanya...
Katika mazingira ya kisiasa ya sasa nchini Tanzania, chama ni kimoja tu kinacho weza ongoza Watanzania: Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kilichozaliwa kwa misingi ya umoja, maendeleo, na mafanikio ya kitaifa, CCM kimekuwa kikiongoza Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977.
Kwa miaka mingi...
1.Pata picha Tundu Lisu akasepa na Kijiji chake ACT Wazalendo, wataungana na Zito, Lisu akagombea uraisi akashinda, Zito waziri mkuu, Zanzibar Jusa Raisi Visiwani, hakika itakuwa serikali mbadala kabisa kwa utawala wa muda mrefu wa chama cha kijani.
2. Wasiposhinda uchaguzi wa Rais ACT...
Rais Samia aliyasema hayo akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) jana Septemba 28, 2024.
"… mabadiliko yote yanayotokea ni katika kukiimarisha chama chetu tukitambua kwamba bado hatujapata mbadala wa chama cha kuongoza nchi hii, bado hatujakipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.