MAJIGAMBO YA NAHODHA NA DEREVA.
NAHODHA: Kazi ya majasiri..!!!
Unahodha kazi nzuri, mtumbwi naendesha,
Kwa nyuma naukalia, mawimbi naachanisha,
Raha kisogoni naisikia, kasia langu kupigisha,
Unahodha kazi nzuri, wengineo jifunzeni.
DEREVA: kazi yenye heshima…!!!
Udereva ni heshima...
RIZIKI ANAPANGA MOLA? AU JITIHADA?.
Nitafafanua andiko langu hili kwa kuzingatia mitazamo miwili, yaani mtazamo wa kidhanifu (hapa nitajikita kidini zaidi) na mtazamo wa kiyakinifu (hapa nitajikita kisayansi zaidi). Hebu tuangalie ufafanuzi huo kama ifuatavyo;
*UFAFANUZI...
KUFAHAMIANA (CONNECTIONS) KATIKA KUPATA KAZI.
Kuna tabia imezuka sana katika jamii zetu na kadri tunavyosonga mbele inaelekea kuwa sugu, si nyingine tabia hii ni kupeana kazi/ajira kwa kufahamiana. Kwa lugha ya kiingereza tunaita CONNECTIONS. Katika andiko langu hili nitaangalia zaidi watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.