MAJIGAMBO YA NAHODHA NA DEREVA.
NAHODHA: Kazi ya majasiri..!!!
Unahodha kazi nzuri, mtumbwi naendesha,
Kwa nyuma naukalia, mawimbi naachanisha,
Raha kisogoni naisikia, kasia langu kupigisha,
Unahodha kazi nzuri, wengineo jifunzeni.
DEREVA: kazi yenye heshima…!!!
Udereva ni heshima...