1️⃣ Vyoo vya stand ya mabasi na daladala Mbagala Rangi Tatu viko katika hali mbaya sana! Uchafu umekithiri.
2️⃣ Abiria na wafanyabiashara wanateseka kila siku kwa sababu ya mazingira haya duni. Hili ni eneo linalotumiwa na mamia ya watu kila siku, lakini hali ya vyoo ni ya kusikitisha.
3️⃣...
Nimepita Mbagala wiki hii nikielekea kwenye Shamba langu Mkuranga, Hakika Mbagala ni Nchi nyingine kabisa, Utaratibu wao wa kuishi ni tofauti kabisa na Utaratibu wa Tanzania.
Wamachinga wamepanga bidhaa kuanzia kwenye milango ya maduka ya watu hadi katikati ya Barabara bila wasiwasi wowote...
Juzi nilipita zakiem pale hadi Rangi 3 mida ya saa 6 usiku, aisee nlichokiona ni zaidi ya uchafu hata kama watu wanatafuta rizki sio kwa uchafu ule.
Bara bara imejengwa mpya alafu kuna watu wanauza machungwa katikati ya barabara pambezoni, yaani kilichonishangaza ni mtu kafunga biashara alafu...
Leo asubuhi nimepishana na mabasi mengi sana ya mikoa ya Kusini pamoja na basi ndogo za Mkuranga na Kibiti yakielekea stendi ya Kijichi. Nikamuuliza mtu mmoja imekuwaje leo haya magari yanaenda Kijichi badala ya Mbagala rangi 3? akajibu magari yote ya mikoani yanayoanzia Mbagala Sasa hivi stendi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.