Katika eneo ambalo linaendana huduma masaa 24 basi Mbagala Zakhiem pale ni kiboko sijawahi kuona,
Nilishawahi kutokea Mtwara nikasimama pale saa 9 usiku, nikapata.mchicha fresh,samaki fresh,matunda na mahitaji mengine utasema mchana, wale jamaa wanamaanisha maana ya jiji linavyotakiwa kuwa...