Wanasema msiba mzuri ukiwa kwa jirani yako sababu ujavaa viatu vyake.
Mbaraka Mwinshehe :Mtaa Wa Saba.
Katika wimbo wake huu alizungumzia kuhusu mikosi na nehema alizofanya kuhama.
Tunapo sema ulimwengu wa roho kuna nyumba,eneo,mkoa,kazi,rafiki au mahusiano yanaweza kuwa mtaa wa saba.
Mfano...
Watu hao ambao ni marehemu ndio watu ambao mimi nawahusudu mno na nikiwaona nikipokuwa mtoto ,kijana na niliwaona japo kidogo nilipokuwa.
Mungu azidi kuwarehemu na kuwaweka mahali pema peponi.
Amina
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.