mbarali

Mbarali District is one of the seven districts of Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Iringa region and east by Njombe region. To the south the district is bordered by Mbeya Rural District and to the west by Chunya District.
In 2016 the Tanzania National Bureau of Statistics report there were 331,206 people in the district, from 300,517 in 2012.: 97 : 118 Mbarali district is the most famous area for rice farming. The district is home to Kapunga rice project and Mbarali estate. The district hosts a very famous wetland called Ihefu, as well as the Usangu plain. Ruaha National Park is within the district to the north side.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbarali: ACT WAZALENDO waanza kutekwa

    Maandiko matakatifu kwenye vitabu vyote vya Mungu yameandika kwa msisitizo kwamba SHETANI HAJAWAHI NA WALA HATOKUJA KUWA NA RAFIKI . Hata hivyo kutokana na maslahi binafsi , tamaa na njaa , Wanadamu wanajifanya hawaoni mambo haya Naipongeza sana Chadema kwa kukataa huu ujinga unaoitwa...
  2. Rais Samia arudisha matumaini Mbarali

    Ni kuhusu mgogoro wa ardhi katika eneo la Bonde la Mto Usangu. Akubali Wananchi kuendelea kulima Na MWANDISHI WETU, Mbarali MAKAMU Makamu Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahaman Kinana amewaambia wananchi wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kuwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan...
  3. Polisi Mbeya: Ulinzi waimarishwa kuelekea uchaguzi mdogo wa Ubunge Mbarali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Mbarali. Akizungumza na vyombo vya habari leo Septemba 18, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amesema, "Vikosi vyote vya...
  4. Uongozi UWT Taifa Wanena Mazito "Bahati Ndingo Apewe Kura za Kishindo Jimbo la Mbarali"

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda akiambatana na Makamu Mwenyekiti Zainab Shomari wakimuombea kura Mgombea wa CCM Jimbo la Mbarali Mkoani Mbeya Bahati Ndingo katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Ubaruku. Akizungumza katika Mkutano wa Hadhara ,Mwenyekiti Chatanda amewaomba...
  5. R

    Mbarali wamegoma kumsupport Mizengo Pinda uzinduzi wa kampeni za Ubunge

    Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa: Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili...
  6. Nafasi za muda za kusimamia uchaguzi mdogo Mbarali

    Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mbarali ametangaza zaidi ya nafasi 1200 za kusimamia uchaguzi mdogo utakao fanyika tarehe 19/ 09/ 2023. Chonde chonde wapinzani msisusie uchaguzi vijana tupate posho.
  7. Uchaguzi mdogo wa mbunge Mbarali

    Habari na poleni na majukumu! Mchakato na Harakati za UCHAGUZI mdogo wa mbunge Mbarali umekamilika baad ya vyama shiriki kuteua Mgombea wao CCM Wana BAHATI NDINGO ACT WAZALENDO MBUNGE WA ZAMANI MH.KIRUFI N.K Swali Je Mbarali anatakiwa kuwa mtu wa namba gani ? Hilo swali ndo Mbarali wanakosea...
  8. Mbunge Bahati Ndingo Ateuliwa Kugombea Ubunge Mbarali

    Mbunge Bahati Ndingo Ateuliwa Kugombea Ubunge Mbarali Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua, Bahati Ndingo kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mdogo jimbo la Mbarali mkoani Mbeya. CCM imetangaza mgombea wa kukiwakilisha chama hicho katika uchaguzi mdogo wa...
  9. CCM Yamteua Bahati Keneth Ndingo kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali, Mbeya

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM a Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekutana katika kikao chake maalum, kilichofanyika Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma, leo Alhamis, Agosti 17, 2023. Pamoja...
  10. Kama unajitafuta, nenda kaishi wilaya ya Mbarali

    Wakuu maisha ni kushare love. Nataka niwaambie vijana na watafutaji wengine ikiwemo hata watumishi wa umma wenye mishahara midogo midogo. Hakuna sehem Tanzania hii panafaa Kwa mtu anayejitafuta Kama Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya. Wilaya ya Mbarali ina fursa jumuishi nyingi Sana lakini kubwa...
  11. TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

    Salaam, Mbunge wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya kupitia tiketi ya chama cha CCM, ndungu Francis Leonard Mtega amefariki dunia leo. Update zote kuhusu maziko, ugonjwa na msiba nitaleta hapa.. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Innalillah wainna ilayhi rajiuun. === Kupitia...
  12. B

    RC Homera na ziara ya kikazi wilayani Mbarali

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera atafanya ziara wilayani Mbarali kesho Jumatano Juni 07, 2023 ambapo atakagua mradi wa umwagiliaji wa Uturo Isenyela wenye thamani ya Bilioni 13.9, kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Mapogolo, kufanya kikao cha Baraza la Madiwani kujadili taarifa ya...
  13. Lindi: Watumishi wa Halmashauri washtakiwa kwa Uhujumu Uchumi

    Januari 11, 2023 imefunguliwa Kesi ya Uhujumu Uchumi namba ECO.NO. 1/2023 Katika Mahakama ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Mhe. Mariam Mchomba. Washitakiwa ni Bw. REUBEN NDIZA MFUNE, ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Mbarali na Bw. JUMA MASATU...
  14. Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, zile Keki Kubwa 50 ulizoenda nazo Mbarali Mbeya umezila zote peke yako?

    Mwenyewe ulipanga uweke Historia pale Uwanjani Highland Estate Mbarali kama Yanga SC yako ingeshinda Mchezo wake wa 50 bila Kufungwa basi umuagize Dereva aingize Gari Uwanjani na mzigawe kwa Mashabiki wenu ili Wazisasambue kwa Mikogo yenu mingi kama Kawaida yenu. Haya jana Jezi zenu Maalum za...
  15. Mbarali: Ng'ombe zaidi ya 400 ambao ni mali ya Wananchi kupigwa mnada leo

    Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kwamba ng'ombe hao wa wananchi wa Mbarali ambao idadi kamili ni 433, wanaodaiwa kukamatwa na Askari wa Wanyamapori kwenye hifadhi wanapigwa mnada leo 14/11/2022 Bali kampuni iliyopewa tenda ya kupiga mnada ng'ombe hao wa Wananchi inaitwa MBARALI HIGHLAND...
  16. Kiini cha mgogoro uliosababisha kufutwa vijiji 5 na vitongoji 47 Mbarali

    Oktoba 26, 2022 Serikali ilitangaza uamuzi wa Baraza la Mawaziri kuhusu mgogoro wa eneo linalodaiwa kuwemo katika bonde la Ihefu wilayani Mbarali. Uamuzi huo uliotangazwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Mabula ulipokewa kwa utulivu, lakini kwa hisia tofauti. Katika...
  17. Kama jambo hilo ni la kweli basi ipo hatari ya amani kutoweka Mbarali

    Rais Samia likatae hilo jambo kwa maslahi mapana ya wananchi wa Mbarali.
  18. Mbarali: Wahujumu uchumi wahukumiwa kulipa Tsh. Milioni 65.5

    Waliopewa adhabu hiyo ni George Kagomba aliyekuwa Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Ferdinand Manyele Mweka Hazina wa wilaya, Athuman Mwasomba aliyekuwa Katibu wa Kamati ya Ujenzi. Wengine ni Bakari Nyamu aliyekuwa Mtakwimu Wilaya ya Mbarali, George Mbilla aliyekuwa Diwani, Mikidadi Mwanzembe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…