Ofisa mmoja wa polisi nchini Zambia, Titus Phiri amekamatwa kwa kosa la kulewa akiwa kazini na kuwaachia huru watuhumiwa 13 na yeye mwenyewe kukimbia.
Watu hao walikuwa wakituhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo wizi, ujambazi na mashambulizi.
Msemaji wa Polisi, Rae Hamoonga amesema Desemba...