mbegu za maboga

  1. Gulio Tanzania

    Mbegu za maboga zinasaidia sana kuongeza nguvu za kiume

    Maajabu ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajui bado. Inatokeaje mbegu za maboga kuongeza nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari, zinatibu...
  2. I

    Natafuta mbegu za maboga kiasi cha tani moja

    Natafuta mbegu za maboga kiasi cha tani moja Kwa mwenye nazo au anajua napoweza kupata msaada tafadhali
  3. emmarki

    Nimenunua kilo ya mbegu za maboga 12000 Moshi

    Wadau, Nikiwa nahangaika kupata materials ya lishe kwa ajili ya shangazi yangu mwenye kisukari. Nilizunguka soko la mbuyuni Moshi kila kona kutafuta mbegu za maboga sehemu moja nilienda bei Kg 1 ni kuanzia 15000, nikajua hataki kuniuzia kwa sababu mwaka jana nilinunua 8000 kwa kilo. Nikaenda...
  4. K

    Bei ya mbegu za maboga katika masoko ya Dar es Salaam, Arusha na baadhi ya Mikoa ya Jirani

    Asalaam Wadau, Ni matumaini yangu mko salama na hongereni na kazi! Katika pitapita zangu nimeona kwa Sasa kuna ongezeko kubwa la uhitaji wa Mbegu za maboga baada ya kubainika kuwa zinamsaada mkubwa katika afya zetu na kuwa saidia wenye maradhi ya shinikizo la damu(BP),Wenye kisukari etc. Sasa...
  5. Tumainiandy

    Nauza mbegu za maboga zilizokaangwa na kusangwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali

    Karibu kwa mbegu za maboga zilizokaangwa na zilizosagwa ambazo unaweza kuweka kwenye mboga au hata kwenye uji. Zina faida nyingi sana kwa sababu ya madini yaliyomo hasa madini ya Zinc, Phosphorus, Iron, Potassium na Magnese, kuna faida kama 11 hivi za mbegu hizi. Napatikana Dar, kwa namba...
Back
Top Bottom