mbegu za mazao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama unataka mbegu za mazao bora ununue mbegu za Zambia na Kenya,Tanzania hii imejaa watu matapeli na Serikali haijali.

    Sijawahi elewa kiukweli Kwa nini hii Nchi imejaa watu Matapeli na Serikali Haijali kabisa.eg tunawapa wakulima mbegu za mahindi feki, Pamba feki harafu hakuna anaefidia hizo hasara Kwa mkulima. Unajiuliza hivi Kuna Serikali kweli ? Au kazi ya Serikali Huwa ni nini hasa kama haiwezi kujali watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…