Hellow Tanganyika!!
Vita ya kiuchumi imepamba moto, hivi sasa unakula embe ,chungwa, papai linalochukua miezi chini ya SITA tu, linakuwa tayari Kwa chakula, Cha kushangaza hakuna mbegu ndani ya tunda Hilo.
Mahindi vile vile, tunaletewa mahindi ya mbegu ambayo huwezi kuyaotesha baada ya kuvuna...