mbegu

  1. M

    Mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba?

    1: Je mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba? Maana nilisikia kwamba huwa kila siku zinatengenezwa. 2: Je zinazo tengenezwa leo haziwezi kutungisha mimba leo leo ? Naombeni msaada Wa kufafanuliwa vizuri hii imekaaje.
  2. Hussein Bashe: Hatutapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi wa Pamba Kisesa

    Ngoma ikisifiwa mlio ujue iko karibu kupasuka. Kelele na majigambo ya BRN yalipelekea MH Rais kuja na msemo "Ukitaka kazi ngumu iwe nyepesi mpe Msomali". Ghafla Jana Bashe alitoa kauli tata ya kwamba "serikali" haitapeleka mbolea, mbegu wala wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa ili Mbunge wa Jimbo...
  3. P

    Ushamba wangu utanifanya nisiache mbegu hapa US

    Wakuu juzi kati katika harakati zangu nikakuta tangazo. "Are you single and ready to mingle" kwa akili yangu ya kibongo nikaogopa kulisoma kwa ukaribu, ila kwa kuwa nilikuwa kwenye traffic lights nikawa nasoma kwa kuibia kabla taa hazijaruhusu kuvuka. Tangazo lilisema watu wahudhurie wakapate...
  4. N

    INAUZWA Mbegu za majani ya n’gombe,mbuzi na kondoo.

    Nauza mbegu za majani ya n’gombe ,mbuzi na kondoo. Jihakikishie malisho na usalama wa chakula kwa mifugo yako. Panda malisho hata kama eneo lako ni dogo. Mbegu ni nzuri na inahimili ukame na inamea kwenywe ardhi yoyote. Msimu wa mvua za vuli umekaribia kwa ukanda wa pwani na Dar es Salaam. Weka...
  5. C

    Wapi nitapata mbegu za maharage ya Njano?

    Salaam! Rejea heading hapo juu, natafuta mbegu ya maharage ya njano mafupi. Nipo Mwanza nimejaribu kwenda kwenye maduka ya pembejeo za kilimo wananishangaa. Naomba ambaye anajua yanapopatikana atoe msada. Uzi tayari.
  6. Nahitaji mbegu za fensi ya michongoma

    Habari za utaftaji ndug zangu nipo katika maandalizi ya vitalu vya upandaji miti ya fensi kwaajil ya kuzungushia uzio shambani Changamito ni upatikanaji wa mbegu za fensi ya michongoma au kwa jina lingine fensi ya arusha miche yake ikiwa mikubwa hutoa miba mirefu na urefu wa miiba yake unaweza...
  7. S

    Rais Samia anapanda mbegu za anguko lake 2025

    Wahenga walisema "kadri unavyopambana kuufumbata mchanga ndivyo unavyozidi kudondoka". Vivyo hivyo na kwa upande wa madaraka, kadri kiongozi anavyopambana na watu ili kuyalinda ndivyo anayozidi kujiongezea maadui na wapinzani wa madaraka yake. Mwisho wa siku anajikuta kishapambana na kila...
  8. Waisrael wanataka Wajukuu kutoka kwa Mbegu za kiume za watoto wao waliofariki

    Dunia inaendelea kukua kwa kasi. Baada ya kusoma hii habari kutoka BBC nimegundua kwamba kumbe hakuna linaloshindikana chini ya Jua. Habari hii imenivutia sana kuona kumbe hilo linawezekana kutoka ndani ya masaa 24 hadi 72 toka mtu alipofariki. Lakini serikali inataka kujiridhisha kwanza...
  9. H

    Mbolea madawa na mbegu ni tatizo Kwa mfugaji na mkulima

    Ni kweli serikali inataka kupiga hatua Kwa wananchi wake? Kama ni kweli ushauri wangu Kwa serikali yangu ijitazame katika mambo haya ya yafuatayo. Mbolea Kwa mkulima:ni wakati Sasa wa sekta ya kilimo kuwa wakali Kwa kuhakikisha mwananchi anapata mbolea ZeNye virutubisho sahihi na sio mbolea...
  10. Jipatie Mbegu Bora ya Samaki Kambale kwa bei nafuu

    Karibu nikuuzie mbegu bora ya Kambale kwa bei nafuu ya Tsh 300 kwa kifaranga kimoja. Kambale ni aina ya samaki mstahimilivu na anayefugika kwa urahisi kuliko aina nyingine ya samaki. Mbali na kuwa mstahimilivu, pia wana sifa ya kukuwa haraka mara mbili zaidi ya sato. Unaweza kuboreshe...
  11. R

    Kiongozi wa Dini aliyetuhumiwa kuhusika mauaji ya Shakahola, asiruhusiwe kupanda mbegu mbaya katika Nchi yetu.

    Salaam,Shalom!! Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika. Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko...
  12. D

    Mbegu za mahindi ya bisi [Pop corn[

    Nahitaji mbegu za mahindi ya kupasua bisi (Pop corn) kwa.ajili ya msimu ujao. Nifahamishe bei kwa kilo.
  13. H

    SoC04 Serikali iwe tayari kuzifuatilia mbegu za mazao Kwa majaribio ya kupanda sio Kwa majaribio ya upimaji kisasa bila kupanda

    Kilimo ni maisha na maisha yetu ni kilimo na chakula.ni serikali Sasa ifike mahali iache longolongo hasa linapokuja suala la kilimo chenye tija Kwa mkulima wa chini. Kuna mambo machache serikali inapaswa kuyaboreaha Kwa vitendo ya majaribio sio matendo ya kisasa Kwa vifaa kila mwaka wa kilimo...
  14. B

    Benki ya CDRB yatoa msaada wa mbegu za mahindi kwa waathirika wa mafuriko Rufiji

    Rufiji. Tarehe 29 Mei 2024: Kutokana na mafuriko yaliyotokea katika msimu wa masika mwaka huu, Benki ya CRDB imekabidhi msaada wa mbegu za mahindi zenye thamani ya shilingi milioni 50 kwa wananchi wa Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani. Benki ya CRDB imekabidhi kilo 7,148.857 za mbegu za kisasa za...
  15. R

    Pre GE2025 Msigwa na Sugu wamekuwa mahasimu kitu ambacho hakipendezi kwa afya ya chama

    Mbowe, Lisu and all concerned, take care of this. Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM. Malumbano yao hayana "upendo" ila yanajenga uadui kati yao na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishii...
  16. Mbegu bora ya nguruwe

    Nahitaji mbegu bora ya nguruwe morogoro
  17. Naomba ushauri wa mbegu gani bora kilimo cha Nyanya.

    Wakuu niko babati nahitaji kuanzisha shamba langu la nyanya . Naomba kujua mbegu gani bora kwa kilimo cha biashara. Pia vitu gani vya msingi natakiwa kuvizingatia.
  18. Je, kumwaga mbegu za kiume mara kwa mara nikinga dhidi ya saratani ya tezi dume?

    Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya kibofu cha mkojo inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote, ikifuatiwa na saratani ya mapafu. Kwa sababu tezi dume ni kiungo cha uzazi ambacho kazi yake kuu ni kusaidia kuzalisha mbegu za...
  19. Mchakato Ujenzi wa Kiwanda cha Kuchambua Mbegu za Pamba Igunga Waanza

    "MCHAKATO UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAMBUA MBEGU ZA PAMBA IGUNGA WAANZA " Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Mohamed Bashe amemuhakikishia Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kuwa mchakato wa ujenzi wa kiwanda cha kuchambua mbegu za Pamba umeanza na sasa hatua za awali zinaendelea...
  20. Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko amegawa TANI MOJA ya Mbegu Bora za Mazao ya Alizeti kwa Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ili kuwainua Wanawake Kiuchumi katika shughuli zao za kila siku ikiwemo kilimo cha Alizeti, Kahawa, Ndizi pamoja na Shughuli za Utalii kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…