mbegu

  1. Sababu 5 za kupungua kiwango cha mbegu za kiume!

    Kiwango cha mbegu za uzazi za kiume wakati wa tendo la ndoa la kujamiiana kimeshuka kwa 51% katika kipindi cha karibu miaka 50 iliyopita. 1. Uzito mkubwa wa mwili. Mtu mwenye kitambi na uzito mkubwa huwa na mafuta zaidi kati uume, korodani na mirija ya mbegu na kuadhiri utengenezaji wa mbegu...
  2. Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

    Habari wadau wa ufugaji. Kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa mbegu bora ya samaki. Zilizopo nizile ambazo hazikui sana kufikia kiasi cha Sato mkubwa, asilimia kubwa zinakuwa kama perege. Je ni wapi au ni namna gani mfugaji anaweza akawa au akapata mbegu bora ya samaki aina ya Sato inayokuwa...
  3. KWELI Kupakata Laptop husababisha hatari katika uzalishwaji wa mbegu za kiume

    Nimeona sehemu kuwa kupakata laptop kwenye mapaja kunasababisha uzalishwaji wa mbegu za kiume kuwa hatarini na nguvu za kiume zinaweza kupungua. Je, suala hili lina ukweli?
  4. Majabu ya mbegu ya parachichi katika kutibu magonjwa

    MBEGU za PARACHICHI hutibu magonjwa ya fuatayo. 🌿High blood pressure 🌿High cholesterol 🌿Asthma 🌿Low immunity 🌿Cancer of the blood 🌿Obesity 🌿Candidiasis Unachotakiwa kufanya ni kuchukua MBEGU ya PARACHICHI na kuisaga alafu utapata Unga. Matumizi: Utakuwa unachemsha maji anaweka kwenya kikombe...
  5. Kumwaga mbegu za kiume/kike kiholela ni hatari kwa afya

    Habari za mda ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye mada Kumwaga mbegu za kiume au za kike ni hatari kwa afya.πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ Nayaandika haya nikitumia Biblia Kama Mwongozo wa maisha,Kwani kwa kuamini yaliyoandikwa ndipo tunakuwa na maisha marefu. Maisha marefu Kwasababu kuna ufufuo kwa wale watakaoishi...
  6. Sababu inayopelekea Mbegu za uzazi kuchanganyika na damu

    Sababu zinazopelekea mwanaume kutoa mbegu ambazo zimechanganyika na damu (hematospermia). Sababu inayojulikana zaidi ni kutokana na uchunguzi wa tezi dume (Prostate biopsy) ambapo inahusisha kuondolewa kwa sampuli ndogo za tishu ili kuchunguza saratani ya tezi dumu. Sababu zisizo za kawaida ni...
  7. Rais Samia: Sasa Tanzania inazalisha mbegu zake yenyewe

    "Huko nyuma Tanzania tulikuwa tunaagiza mbegu kutoka nje ya nchi lakini sasa tunazalisha wenyewe kwa kuziwezesha sekta binafsi kufanya "research" na kuanzisha mashamba yanayozalisha mbegu bora na kuzisambaza hadi nchi nyingine." - Rais Samia Suluhu akizungumza kwenye mkutano wa wakuu Nchi za...
  8. Mbegu bora ya mihogo inapatikana wapi Kanda ya Ziwa?

    Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja. Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili. Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka mmoja? Mashamba ya kuoteshea yapo mkoani Geita na Kakonko mkoani Kigoma.
  9. Mbwa Mbegu nzuri ya kufuga

    Nahitaji kufuga mbwa. Naombeni kama kuna mdau anaweza ni bless na mbwa nitashukuru sana. Zisiwe zile mbegu za mbwa wa kizaramo... Vile vyembamba vinatanga na njia wakati wote. Hapana. Pamoja na kuwa ninaomba lakini pia haimaanishi nitachukua mbwa ambaye najua sitakuwa na furaha naye. Wale...
  10. Mbegu ya mipapai ya kisasa inapatikana wapi?

    Ninataka mbegu na siyo miche. Mwaka huu nilinunua zaidi ya miche 50 lakini baada ya kuanza kuchanua maua, nimebaini mingi ni midume. Nimeamua kutafuta mbegu nisie mwenyewe. Ni wapi ninakoweza kuipata? Nipo Geita.
  11. Mbegu ya dragon na kiwi inahitajika

    Anyaehitaji yupo Mwanza. Anahitaji kidogo ya kwenda kujaribisha kwenye shamba lake. Kama unafahamu inakopatikana naomba taarifa tafadhali. Muhusika si member humu, kwa hiyo ni muhimu kuweka bei na mawasiliano, hasa y simu. Natarajia kumpa mrejesho Usiku wa Jumatatu, 13/11/2023. πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
  12. Dah ama kweli damu ni nzito kuliko maji , hako ka bint kakuje tu ethiopia. Wana wa kiethiopia wakatie mbegu za ki ethiopia kaendeleze kizazi

    Au vipi wana maneno Maana kamenonaa kwa sasa kana stahili mb*o*0 za ki ethiopia ili kaendeleze kizazi ....maana za kizungu zitaleta half cast(muethipia muzungu) aseeeee! ALL IN ALL DAMU NI NZITO KULIKO MAJIIIIIIπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ Karibuni wagawaji wa...
  13. B

    Nahitaji ushauri kuhusu mbegu bora ya mahindi

    NI mbegu ipi ya mahindi nikiitumia naweza kupata matunda Bora? Ushauri wenu ni muhimu Sana, #Elimu ya kilimo
  14. KWELI Roque Jose Florencio alikuwa Mtumwa aliyetumika kama dume la mbegu kuzalisha watumwa wenye nguvu

    Inadaiwa huyu jamaa bhana enzi za utumwa, alitumika na masta wake kama mbegu ya kuzalisha watumwa wenye nguvu. Inadaiwa kutokana na kuwa na nguvu, umbo maridadi na urefu wa futi 7 hivyo masta wake alimpa upendeleo wa kipekee wa kumpunguzia majukumu mengi huku kazi yake kubwa ilikiwa ni kulala na...
  15. Msaada: Bei za Mbegu za mahindi Mwanza

    Wakubwa salam. Nipo Mwanza mjini hapa. Naomba kuelekezwa maeneo yanakopatikana maduka ya jumla ya pembejeo za kilimo. Na pia naomba kujua bei mbegu za mahindi Kwa mfuko wa kilo mbili. Aina ya Mbegu ni DK 31 na 33 Ahsanteni.
  16. O

    Msaada nataka kujua kwanini mbegu zinarudisha nje baada ya kusex na wife mi kama 15 mpaka sekunde 40 au dk1

    Mke wangu mbegu nyingi humtoka baada ya kusex naye nashindwa kuelewa maana bado hatujapata mtoto na mimi ndo mtoa bikira karibia mwaka sasa Embu nipeni shule maana hasikii maumivu yoyote kama nilivyo ambiwa kuwa kunaweza kukawa na kitu kama kidole kina zuia mbegu kwenda mbele
  17. Nauza mbegu za michongoma

    Habari zenu Nauza mbegu za michongoma. Zipo kibaha. Kwa anayehitaji kwa ajili ya kupanda kama fence kwenye kiwanja ama shamba lake anaweza nicheki kwenye namba 0758308193 na bei ni sh 10000 kwa chupa ya soda yenye mbegu. Mfano eneo la eka 1 chupa 6 zinatosha. Hiyo ni gharama ndogo kuliko kuweka...
  18. Mbunge Lindi Mjini aungana na wadau kuishauri Afrika kuwekeza katika utafiti mbegu asili

    NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji. Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka nchi 25 za Bara la Afrika, Marekani na Ulaya ambao wanakutana jijini Dar es Salaam kwa siku tatu...
  19. Mbegu Feki (Mahindi na Alizeti) Tanzania Zaleta Kilio Kikubwa Sana Momba, Wananchi Wakimbilia Mbegu Bora Zambia

    MBEGU FEKI (MAHINDI & ALIZETI) TANZANIA ZALETA KILIO KIKUBWA SANA MOMBA, WANANCHI WAKIMBILIA MBEGU BORA ZAMBIA Wakulima wa zao la Mahindi Jimbo la a Momba Mkoa wa Songwe walia na mbegu feki za Mahindi zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo katika msimu wa mwaka 2022-2023. Wakulima hao wamesema...
  20. Gunia 131 za bangi kavu, kilo 120 za mbegu za bangi na hekari 489 ya mashamba ya bangi na wawatuhumiwa 18 vyanaswa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Vyombo Vingine vya Ulinzi na Usalama wakiwemo JKT Ruvu imefanya operesheni ya siku nane (8) mfululizo mkoani Morogoro katika wilaya za Morogoro, Morogoro vijijini na Mvomero na kukamata jumla ya gunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…