mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. Wewe unatumia njia gani kupata ujasiri wa kuzungumza mbele ya watu wanaokuzidi kila kitu?

    Habari wana JF, Baadhi yetu tumewahi kupata bahati ya kukaa na wakubwa au kutoa speech mbele ya watu wenye vyeo vikubwa kutuzidi, au kwenye interview nk. Confidence na utulivu ni jambo muhimu sana wakati huo. Binafsi huwa nawadharau watu wote wanaonitazama ili kupata confidence. Wewe...
  2. Hakuna mwanamke anaetoboa mbele ya Mwanaume Halisi

    Nawasalimu kwa jina la Dp Ipo hivi hawa wavulana wanaolia lia mbele za wanawake wanatuzalilisha sana, Mwanaume hutakiw kuwa dhaifu mbele ya kiumbe cha kike hata awe na uzuri wa aina gani Hutakiwi kumuhofia hata kidogo hakikisha tu upo smart mwilini na akili mfukoni pia ila sio muhimu...
  3. Guinea yasema mbele ya UN kuwa waafrika hawana shida na demokrasia ya Kimgagharibi

    Kiongozi wa kijeshi wa Guinea,Mamady Doumbouya hapo jana alipokuwa akihutubia baraza kuu la umoja wa mataifa UNGA kuwa mfumoj wa demokrasia haufanyi kazi kwa nchi za kiafrika. Katika hotuba yake hiyo alisema nchi hizo ziache kuzilazimisha nchi za kiafrika kufuata mifumo yao ya kiutawala...
  4. Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Salaam, Nimeona mijadala mingi humu ikizungumzia sakata la kocha wetu ambaye amenukuliwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini kuhusu sababu za yeye kuondoka kambini. Kwa upande wa klabu bado hatujasema chochote, taarifa yetu ya awali tulitoa kuhusiana na yeye kuondoka kambini kwa sababu...
  5. L

    China yaweza kutembea kifua mbele na kuingia kwenye ushindani na makampuni ya kutengeneza ndege kama vile Boeing na Airbus

    Sekta ya utengenezaji ya China imekuwa ikipewa kipaumbele na kuangaliwa kwa jicho la kuona mbali tangu kuwepo kwa utawala wa Chama cha Kikomunisti cha China. Kitakwimu pato la jumla la viwanda vya utengezaji mara nyingi limekua kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 10 kila mwaka, na nguvu kazi ya...
  6. M

    Nilichogundua mimi ni kwamba Rais Samia yuko mbele ya muda kwenye kuongoza

    Watanzania hawajui mana ya economic diplomacy. Wala hawajui uwekezaji maana yake nini umaskini wao wanaufurahia sana hata kama wanakufa poa tu. Wanaamini sana Rais anayefoka foka ili wapate kwa kudhani kwamba ni relief kwao ili watanzania wote wafanane. Ndo mana Hayati Magufuli alipenda na...
  7. Watanzania acheni roho mbaya na wivu hakuna mwenye dhambi za kudumu kuliko wengine na asiyesameheka. Mnyeti ana haki mbele ya Mamlaka ya Uteuzi

    Wasalaam TZ na Dunia, Ndugu Alexander Mnyeti aachwe afanye kazi uwaziri ni haki yake. Nchi hii imejaa mazuzu wanaodhani mtu fulani akiwakosea wao basi hafai Kwa wengine na jamii nzima. Alexander Mnyeti ana sifa kama za Watanzania wengine wote ambao ni watenda mema na mabaya kila siku...
  8. Unapata faida gani kuanika mambo yako ya msingi mbele za watu

    Siriiiiii, kuna kundi kubwa sana la watu hawajui madhara ya kuanika mambo yao ya msingi mbele za watu. Yaani yeye akipata dili lolote hata kabla halijatiki tayari kashawatangazia watu zaidi ya kumi, ndugu zangu hivi mnajua kuwa kwenye hii dunia tuaishi kwa kuviziana sana? Utasikia ooooh...
  9. Simba mtakachoambulia kwenye Super League ni zile b.5 mlizopewa za maandalizi vinginevyo hamna chenu mbele ya Al Ahly

    Ni vile tu kukaza roho na kuondoa aibu but kiuhalisia simba alikuwa anatamaniwa na kila timu iliyokuwepo kwenye hii michuano, na kwa bahati mbaya kaangukia mdomoni mwa wababe wa misri! Kiufupi ni kwamba mwendo mmeumaliza mechi ya kwanza tu out! Itakuwa ni asante kwa kushiriki, labda walale...
  10. Mwanasheria aliyepelekwa mstari wa mbele Kharkiv baada ya kunusurika kifo asema harudi tena kupigana.

    Mwanasheria Ihor ambaye alichomolewa kutoka maisha ya kiraia na kupewa mafunzo ya wiki tatu kutoka vikosi vya NATO amesimulia kilichompata na kuweka msimamo harudi tena kupigana dhidi ya Urusi. Anasema siku hiyo mwanzoni mwa mwezi Agosti iliyopita ghafla alijikuta yupo katika ya mashambulizi ya...
  11. W

    Nilivyo sasa baada ya kumfuma mwamba akilia mbele ya wazee na mkewe ili asiachwe!

    Nimefadhaika, nimehuzunika, nimekasirika, nimeshangaa, nimechoka na nimekata tamaa kabisa!! Yaani jamaa analia 'live' mbele ya wazee waliokuja kusuluhisha mgogoro wao na mkewe ambaye anadai talaka aondoke.........analia huku amempigia magoti mkewe (huku wazee wakishuhudia) akimsihi asiondoke...
  12. Uchambuzi Yakinifu: Bila chuki wala kuweka utaifa mbele Khaligraph jones katisha sana

    1 kamwambia ukweli Young killer _ saivi yupo busy na mapenzi kuliko mziki (kuna time nilidhan Bongo hip hop ataiokoa) 2 Wakazi anaongea sana mitandaoni(apewe kaz wasafi media) 3 Nikki Mbishi (apa naisi kikosi kazi wote) __(wanafanya mziki mzuri lakini nidhamu ni kitu cha muimu ili msanii afike...
  13. C

    Mambo 20 ambayo yanatakiwa kujadiliwa ili nchi isonge mbele tukiwa wamoja

    UNAFIKI pembeni! Moja kwa moja kwenye ajenda. 1. Ni nani mshauri mkuu wa mambo muhimu na makubwa kwa Rais wetu kwa sasa?! Ni kina nani? 2. Biashara za koridoni na mwarabu zina kitu gani kikubwa hadi kufikia hatua hii? Kila sehemu ya nchi anatafutiwa mapande mapande ya ardhi, kuanzia bandari...
  14. T

    Sweden: Nakala ya Quran yachomwa moto na kudhihakiwa mbele ya Kasri la Mfalme

    Matukio ya kuchoma moto na kudhihaki kitabu cha Quran yameendelea tena nchini Sweden ambapo jana watu wawili walichoma moto na kuchana chana kanala za Quran hadharani mbele ya kasri la mfalme. Ikumbukwe wiki iliyopita waziri Mkuu wa Sweden alisema anasikitishwa na kitendo cha idadi kubwa sana...
  15. Tuwakumbuke wanamuziki wa Bongo Fleva waliotangulia mbele ya haki

    Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000. Leo nimeona tuwakumbuke wanamuziki wa bongo fleva ambao wamefariki. Hii itasaidia pia kujua baadhi ya wana muziki wa bongo fleva...
  16. J

    Waziri Bashungwa: JKT tupo mstari wa mbele kuwapika vijana kushiriki katika kilimo

    BASHUNGWA: JKT TUPO MSTARI WA MBELE KUWAPIKA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA KILIMO "Maono na uwekezaji Mkubwa unaofanywa na serikali ya Awamu ya Sita (6) inayoongozwa na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Kilimo umeleta tija Kubwa sana katika Kilimo chetu Kwa sasa. Pia Sisi...
  17. Kwa wanasheria tuu: Advocate Mwabukusi dhidi ya Jamuhuri mbele ya Justice Mwakusanya(as then he was) hali ingekuwaje?

    Karibuni kwa mjadala
  18. L

    Rais Samia Songa mbele Mama, kuongoza Watanzania inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu maana ni vigeugeu

    Ndugu zangu watanzania, Ukiwa kiongozi Tanzania hasa ngazi ya Urais inahitaji kifua kipana,moyo mkubwa,moyo wa uvumilivu, upendo, huruma na moyo wa msamaha katika kuwaongoza na kuwatumikia watanzania,kwa kuwa sisi watanzania kwa kiwango kikubwa ni walalamishi, vigeugeu, tunaofanya mambo na kazi...
  19. Mkuu wa Wagner akutana na viongozi wa Afrika mbele ya Putin, jamaa ameshindikana

    Licha ya huyu jamaa kufanya uasi na kusababisha maafa na pia kusababisha Putin aikimbie ikulu na kujificha, ambapo baadaye Putin alijitokeza na kuongea kwa hasira sana kumhusu huyu jamaa, na Urusi kutangaza imemfukuza hadi uhamishoni Belarus, jamaa amethibitisha ni mfupa uliomshinda fisi Putin...
  20. SoC03 Kuelekea Utawala Bora Tanzania: Kupiga Hatua Mbele

    Utalii, Teknolojia, Uadilifu, na Uwazi: Mabadiliko ya Kweli kwa Tanzania Tanzania, kama taifa lenye utajiri wa kipekee wa rasilimali za asili na utamaduni wake mzuri, ina fursa ya kipekee kuongoza katika bara la Afrika kuelekea utawala bora. Utawala bora unahusu maendeleo ya nyanja zote za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…