mbele

Blaise Lelo Mbele (born 10 August 1987) is a retired Congolese footballer who last played for Al-Ahli Club. Lelo previously played for different professional clubs such as South African giants, Orlando Pirates FC and the Saudi Arabian club, Al-Hilal FC.

View More On Wikipedia.org
  1. Usioane na mbadala, eti utampenda mbele ya safari

    Usioane na mbadala, eti utampenda mbele ya safari, kujifunza kumpenda mtu ukiwa naye ni changamoto sana kwasababu matarajio yako yasipokuwa vile utamanivyo huku ukiendelea kuzaa naye, kupoteza muda wako ni mateso 😢 Mungu ataendelea kukutanisha na wale watu wa aina yako kila leo wakiwa single au...
  2. Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai: Matangazo ya kamari, riba na pombe yameingizwa mpaka sehemu ambazo zilionekana ngumu kufika

    Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
  3. Maana ya jiji iko wapi kama hawako mstari wa mbele katika majanga makubwa?

    Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala? Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au...
  4. Huyo msichana mzuri hapo mbele saivi ana miaka 84, muda unapaa

    hii picha imepigwa mwaka 1960, kama huyo msichana alikua na hata na miaka 20 tu, saivi ni bibi ana miaka 84, muda unapaa
  5. Sala ya kuwaombea toba Washenzi wa Afrika mbele ya moyo mtakatifu wa Yesu

    Ni sala maarufu sana Iliyokuwa Inalindima Kipindi kile cha Ukoloni Kutoka kwa WaMissionary na Hasa Maaskofu wakuu wa enzi hizo za Ukoloni.. Mungu utusaidie Tusiwe Miongoni mwa Washenzi Wasio kuwa na Elimu ya Kukutumikia. cc:- Kiranga Kisai Rabbon min -me
  6. S

    Unyanyasaji wa wapinzani: Namuomba Mungu anaetoa maagizo atangulie mbele za haki atuachie nchi yetu

    JF simameni katikati, hapa hajatajwa mtu.. Nikirudi kwenye mada, Kama kuna mtu wa ngazi yoyote anatoa maagizo wagombea wa upinzani wanyanyaswe kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa, ombi langu kwa Mungu ni amchukute huyo mtu ili nchi yetu iendelee kuwa salama. Na kama ni mfumo, Mungu...
  7. Mama mwenye nyumba kanisamehe kodi mbele ya baba mwenye nyumba

    Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11 Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa...
  8. PPRA: Inapotokea kuna changamoto ya Mtandao katika Mfumo wa NeST huwa tunasogeza mbele muda wa Tenda

    Baada ya Mwachama wa JamiiForums.coma kulalamikia changamoto ya Huduma ya Mtandao katika Mfumo wa NeST, ufafanuzi umetolewa na mamlaka inayohusika Kusoma hoja ya Mdau kwa zaidi bofya hapa ~ PPRA Mtandao wa Manunuzi (NEST) una changamoto sana Afisa Uhusiano wa Umma wa PPRA, Joseph Muhozi...
  9. K

    Kwanini Treni ya EMU ina Vichwa Mbele na Nyuma?

    Wataalama wa mambo ya treni, mje kunijuza ni kwa nini treni ya mchongoko (EMU) inatumia vichwa viwili kimoja mbele na kingine nyuma? Kwangu naona ni gharama zinazoepukika ikiwa kuna uwezekano wa kutumia kichwa kimoja.
  10. Hakuna mkate ngumu mbele ya chai, Mwabukusi kimyaaaaaa!

    Ukipiga mchungaji kondoo wote watatawanyika, ukiwa nje unaona msitu lakini ukingia ndani ya msitu unaanza kuona miti. Umoja wa kupigania Tanganyika sasa kwisha habari yake, sioni tena Mwabukusi toka amekuwa raisi wa CHAMA cha wanasheria TLS, Sijasikia akitoa matamko makali tena. Prof.kabudi...
  11. Dada zetu tamaa mbele

    MKAKA: Mambo.? MDADA:- Poa MKAKA: Pandezipi? MDADA:- Dodoma MKAKA: Unasoma? MDADA:- Ndio MKAKA: Hakika nimeona picture zako vile umedamshi nimetokea kukupenda ghafla! MDADA:- Una kazi gani? MKAKA: Me Headmaster wa Igunga secondry school. MDADA:- Wao upo sahihi kweli kunipenda mie na najisikia...
  12. Wanaume wa kiafrika ni dhaifu sana mbele ya wanawake.

    Wanaume wa kiafrika ni dhaifu Sana mbele za wanawake. Kupitia udhaifu huu wameharibu Kazi zao zilizokuwa zinawasaidia kuendesha maisha na kuwapa heshima. Udhaifu huu umewafanya wameharibu ndoa zao zilizofungwa Kwa gharama kubwa ya pesa na sala na mizimu. Pia kupitia udhaifu huu umesababisha...
  13. Kesi ya 'mauaji ya Asimwe' yasogezwa mbele Padri akapimwe Akili kwanza

    Kesi ya mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30,2024 na June 17,2024 mwili wake kukutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na kukatwa baadhi ya viungo vyake, imesogezwa mbele kupisha uchunguzi Mtuhumiwa wa kwanza Padri Elipidius Rwegoshora...
  14. Wanaume ushawahi kuwa na girlfriend ambaye unaona aibu hata kumtambulisha mbele za watu

    Habarini, Katika harakati za kutongoza kama mwanaume unaeza jikuta wanawake wa type yako hawakutaki, unaishia kupata ambao sio type yako. Ili kutoa ukame, una date na mdada asie type yako, ila hata kumtambulisha kwa ndugu na marafiki kama huyu ni girlfriend wangu, unaona aibu, hata kuongozana...
  15. LGE2024 Kutopiga kura ni dhambi mbele za Mungu, dhambi ya kutotimiza wajibu!

    Kupiga kura ni njia muhimu ya kutimiza wajibu wa kijamii na kisiasa. Ni fursa ya kushiriki katika mchakato wa maamuzi yanayoathiri maisha ya watu na jamii kwa ujumla. Kutoshiriki inaweza kupelekea kukosa sauti katika mambo yanayohusiana na maisha yetu. katika mitazamo mingi ya kidini, mamlaka...
  16. A

    Ayatollah Khomen Anasena Israel ni Mtoto Mdogo Sana Mbele Ya Hezbullah

    https://youtube.com/shorts/ieBLRTPg-xE?si=Mf1qykB9kyqh8kt3 Ujumbe ndio huo leo kutoka kwa Ayatollah Khomen, asema Israel ni watoto sana mbele ya Hezbulla. Hawaiwezi Hezbullah. Hivi kuna kuna dharau kama hi tena. Ayatollah anasema Israel lazima wakuze akili zao wasifikirie hata siku moja...
  17. B

    UZi MAALUMU kwa ajili ya kusalimiana kwa lugha za makabila yetu

    Nianze na kabila langu kubwa la wasukuma "mwangaroka bhadugu bhane" "Yani habari zenu ndugu zangu" Tuendeleze Sasa makabila mengine kwa salamu....
  18. Waziri Bashe awalipua waliopiga pesa za tumbaku Tabora zaidi ya Sh. Bilioni 1.2 mbele ya Makamu wa Rais

    Dkt. Mpango aagiza wasakwe awataka NMB kumsimamisha kazi Mtumishi wake aliyekula njama, asikitishwa mtendaji kuuwawa kikatili. Watumishi wa umma na wengine 15 matatani, ataka taarifa zao zifike kwa Waziri Mkuu. Na Mwandishi wetu Makamu wa Rais wa Dkt Philip Mpango, ameshtushwa na taarifa...
  19. B

    Unapozidishiwa chenji huwa unarudisha au ndio wimbo wa Albert Mangwear "kimya kimya" mwendo wa haraka mbele

    Katika mihangaiko ya hapa na pale unaweza kwenda dukani ama sokoni inapotokea muuzaji kakuzidishia 'chenji" unachukua hatua gani!?? Binafsi huwa narudisha Wewe je? Wafanyabiashara wanapitia changamoto sana
  20. Ni kwanini uhai wa mapenzi ya kujionyesha mbele za watu kwamba mnapendana sana huwa hayadumu?

    Mifano ni mingi sana humu nchini. Hivi shida hasa huwa ni nini, licha ya kujiapiza na kusifiana kupitiliza mtaani, mitandaoni na kwenye vyombo vya habari mpaka kutoa machozi, lakini mwisho wa siku ndoa au uhusiano una sambaratika vizuri tu. Huwa ni macho ya watu wabaya au maombi mabaya ya watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…