Nimekula mkeka toka juzi lakini wameshindwa kunilipa. Na kibaya zaid mkeka ulikuwa unasoma pending payment, na Jana mida ya mchana ticket ikasoma payed winner, na kwa uhalisia hawajanilipa nimewapigia kwenye simu wanasema kuna shida ya mfumo. Nal eo ndio hawapokei kabisa.