mbeya city fc

Mbeya City Council Football Club, is a Tanzanian football team playing in the Tanzanian Premier League. The team was established in 2011 in Mbeya City which is in the Southern Highlands of southwest Tanzania.
Mbeya City FC is known by the names of Green City Boys, Purple Tigers and Jacaranda Warriors. Their home jersey is purple and white. The 20,000 capacity Sokoine Stadium is their home stadium.

View More On Wikipedia.org
  1. upupu255

    Dkt. Tulia alilipia Tiketi 1000, mechi ya Mbeya City FC dhidi ya African Sports!

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, ameonyesha ukarimu kwa kuwalipia mashabiki wa Klabu ya Mbeya City tiketi 1000, ili kuipa nguvu katika mechi dhidi ya African Sports. Mchezo huo wa Ligi ya Championship ya NBC ulipigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, Jumatatu, Februari 17, 2025, kuanzia saa...
  2. GENTAMYCINE

    Mashujaa FC karibuni NBC Premier ila mkitumika na Yanga SC kama Mbeya City FC nanyi tutawashusha Daraja

    Tayari baada tu ya Kumaliza Mechi yenu huko Mkoani Mbeya nimemsikia Mmoja wa Kiongozi wenu Said Swedi 'Scud' akifurahia na kutamba kuwa Msimu ujao wa Ligi Kuu Timu zitawakoma. Said Swedi Scud ni mwana Yanga SC lialia tena ni Mwanachama kabisa na alishawahi pia kuwa Mchezaji ( hasa Mshambuliaji...
  3. GENTAMYCINE

    Wenye akili tulipoona tu ndani ya Mbeya City FC kuna u-CCM na u-CHADEMA, tulijua itashuka tu Daraja

    Huwezi kuwa na Timu halafu Asubuhi Spika wa Bunge anaenda na Kuwaambia Wamsikilize Yete huku akimbeza Mpinzani wake Sugu na Mbunge Mstaafu na mwenye Ushawishi Mbeya Mjini Sugu nae akienda anamkandia Mpinzani wake Spika wa Bunge na kuwataka Wamsikilize Yeye halafu hiyo Timu ikapata Mafanikio...
  4. GENTAMYCINE

    Baada ya kujua Mbeya City FC wana Uyanga mwingi najitolea kufanya Fitna ili ifungwe na KMC FC na ishuke kabisa Daraja

    Kocha wa KMC FC na Mtoto wa Mjini Mwenzangu Jamhuri Kihwelo ( alias Julio ) najua leo mmefungwa nao Goli 2 kwa 1 huko Kwao Mbeya na Ijumaa mnarudiana nao Dar es Salaam hivyo tulia wana Simba SC Wenzako tuicheze Kimafia na Kimjinimjini hiyo Mechi uwafunge Goli 3 au 4 kwa bila ili mbakie Ligi Kuu...
  5. GENTAMYCINE

    Baada ya Simba SC Kuchemka kwa Mbeya City FC leo tegemeeni yafuatayo ili kuwazuga mashabiki wa Msimbazi

    Wameshajua tayari kuwa sare ya leo imewakwaza wana Simba SC wengi kwani sasa pengo kama Yanga SC itashinda mechi zake na kuwa sawa kimichezo na Simba SC itakuwa ni alama (Points ) saba (7) kamili. Hivyo basi GENTAMYCINE natabiri kuanzia kesho Alhamisi ili kutuzuga wana Simba SC (Mbumbumbu Ngada...
  6. M

    Hongereni sana GSM Yanga SC kwa kuamua kuwapokea Mbeya City FC

    Mchezaji (Mshambuliaji) Paul Nonga (Mwalimu Kitaaluma) na mwana Yanga SC Kindakindaki ambaye uliifunga Simba SC Mbeya hadi Kushangilia kwa Kuizunguka Mbeya yote hongera mno kwa kuwa Mratibu Mkuu wa Kuchukua Pesa za GSM Yanga SC na kuwapa Wachezaji wenzako wa Mbeya City FC ili Jumamosi mlegeze na...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Uzi maalum wa mashabiki wa Mbeya City FC

Back
Top Bottom