Ni jambo la kusikitisha kuona stendi ya Nane Nane, Mbeya, ambayo ni kitovu cha usafiri kwa abiria wanaosafiri kwenda mikoa mbalimbali nchini, ikiwa gizani.
Stendi hii ni chanzo kikubwa cha mapato kwa serikali kupitia kodi na ushuru unaolipwa na wajasiriamali na abiria kupitia tiketi, hivyo...