Baada ya kimya cha muda kidogo Sugu ameingia mtaani kupiga kampeni ya kimya kimya huko vijijini
=====================
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwa na wananchi wa Kata ya Ilungu katika Jimbo la Mbeya Vijijini baada ya...
Sisi wakazi wa Igunga ambao tumekuwa tukifanya shughuli zetu kutoka Wilayani hapa kueleke Mbeya tumekuwa tukikutana na changamoto kubwa ua ubovu wa Barabara.
Kwanza kabisa kabla sijaingia katika hoja yangu ya msingi, huku vijiji vyetu vina changamoto kubwa ya Barabara kuingia kwenye vijiji...
Habari wanaJF ukweli huu mji umekithiri kwa uchafu si ajabu kukuta taka zimetupwa sehemu yoyote mtu anapojiskia na hakuna anayekemea.
Kamati ya Mazingira itakuwa wako likizo mpaka warudi mambo yatakua sio mambo je huko kwenu kukoje?
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya jiji la Mbeya Dormohamed Issa amesema Dkt. Tulia Akson Mwansasu ni mbunge wa kipekee ambaye kila mtanzania anatamani awe mbunge wa jimbo lake na hata Mbeya wakikataa aendelee kuwa mbunge wao ataenda kugombea sehemu nyingine yoyote na kuendelea kuwa mbunge.
kikao
Kama kichwa cha habari kilivyo!
Makondakta na Madereva wa dala dala Mbeya wanatoa lugha mbaya sana kwa abiria. Sumatra waelimisheni abiria haki zao ndani ya dala dala acheni kushinda ofisini watu wanateseka barabarani.
Wekeni hata sticker zenye namba zenu na haki ambazo abiria akivunjiwa...
Niko uyole hapa napiga vyombo
Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=
Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=
Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=
Boda bei ni buku tu.
Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
Baada ya Mdau wa JamiiForum.com kueleza kuwa hadi leo Januari 21, 2025, Wakazi wa maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya hawajapata maji kwa wiki moja, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) imefafanua kuwa kuna mgawo na pia uzalishaji haukidhi mahitaji ya Mkoa.
Kusoma hoja...
Hadi leo Januari 21, 2025, maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya haujapata maji kwa wiki moja sasa, tumetoa taarifa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) lakini hatuoaji majibu yanayoeleweka.
Hii sio mara ya kwanza, kila inapotokea kunakuwa na ugumu kwa kupata majibu...
Mpo salama!
Wengine tunajadili na kuyaona mambo kwa Jinsi yanavyoonekana na Wala sio ushabiki.
Hakuna asiyejua nguvu ya Mbeya, Mara na Arusha kwenye chama cha CHADEMA.
Mikoa hiyo ndio ngome kuu ya CHADEMA.
Unapokataliwa kwenye ngome yako alafu ukang'ang'ania kutawala ni kujaribu kujiangusha...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera ameliagiza Jeshi la Polisi katika mkoani hapo kumkamata na kumweka ndani Mkandarasi anayejenga barabara ya Mtaa wa Uzunguni A Jirani na Mahakama ya Mwanzo endapo atashindwa kusambaza kifusi cha changarawe ambacho kimekuwepo maeneo hayo kwa muda mrefu.
Homera...
Wakuu habari nahitaji msaada wa kujua gharama za kusafirisha mzigo kutoka mbeya kuja arusha (tani 14) na kahama kuja arusha(tani 10). Bidhaa ni mchele
Kwa anaejua gharama naomba msaada
Odas Aron ni mratibu wa elimu ya Afya jijini Mbeya anasema Mpaka kufikia sasa watu 345 wameugua ugonjwa huo katika halmashauri ya jiji la Mbeya huku wakiendelea kupata matibabu kwenye kambi maalumu zilizotengwa.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera ameelekeza uongozi wa jiji la Mbeya, kusitisha mkataba wa mkandarasi anayejenga vyumba vitatu vya madarasa na vyoo, katika shule ya msingi mafanikio kata ya Itezi jijini Mbeya kwa kushindwa kukamilisha madarasa hayo kwa wakati.
Madarasa hayo yanayojengwa...
Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA.
Sitaki kuiongelea Mbeya yote kwa ujumla lakini kwa maeneo ambayo mimi ninaishi haya ya Iyunga, na Nzovwe, hali hii...
Nimezunguka hii nchi ila hiyo mikoa imenitetemesha. Mbeya wanayo ya asili, Mtwara wanayatengeneza mtoto anapo zaliwa, yanakuwa yanabinuka juu juu, malainii viuno wanavirekebisha na shanga, pia yanakuwa yamoto kama jiko la mkaa.
Nadhani kuna uzi unaofundisha jinsi wanavyofanya.
Habari ndugu zangu, Wana jukwaa wenzangu hasa tunaoishi ndani ya Jiji chafu kuliko yote nchini, Jiji la Mbeya
Naomba leo niwape angalizo kidogo hasa sisi wenye Watoto ambao ni Wanafunzi, tujaribu kuwapa Elimu ya usafi na kujiepusha kula kula hovyo huko mashuleni.
Hali ya Kipindupindu ndani ya...
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ)
Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
Ajira kwa Watoto limekuwa tatizo sugu sana hapa nchini, tukiachana na wadada wa kazi ambao asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wameacha shule au ndiyo wametoka kuhitimu elimu ya Msingi, kuna hawa Wafanyabiashara wanaomiliki maduka kwenye masoko mbalimbali hapa nchini wamekuwa na utaratibu wa...
📖Mhadhara (76)✍️
Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo.
Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba mashimo marefu (kwa matumizi ya visima, vyoo, maji taka, n.k) na kuyaacha wazi kwa muda mrefu...