🏠 BOMA LINAUZWA – LUGURUNI, UBUNGO
💰 Bei: Milioni 9 tu
Maongezi yapo kidogo.
✅ Boma lina vyumba 3
✅ Ukubwa wa eneo: Mita 12 × 22
✅ Umeme upo – unashusha waya tu
✅ Maji ya DAWASCO yapo
✅ Eneo zuri na linafikika kirahisi
📍 Lipo Luguruni, Wilaya ya Ubungo.
Kutoka standi unaweza kufika kwa miguu...