mbezi magufuli

Magufuli Bus Terminal also unofficially known as Mbezi Bus Terminal (Kituo kikuu cha mabasi cha Magufuli, in Swahili) is a major bus terminal located in Mbezi ward of Ubungo District of Dar es Salaam Region in Tanzania.
It started operating in November 2020 and serves over 3000 buses daily. It was officially opened by the late Dr. John Magufuli on 24 February 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. Roseyree

    Sale sale: Jamani karibuni nauza Mtumba gauni 3500 tu na vishati 1500 tu sketi imebaki moja 2000 tu karibuni sale ya moto Mbezi Magufuli

    Kabla ya kufungua mzigo mpya nimeamua nifanye sale Jaman nauza gauni mtumba quality 3500 af tatu tu Sket imebak moja 2000 tu Vitop vishat 1500 tu Karibuni sana wasap or call 0625056158
  2. nipo online

    Toba! Hapa mbezi magufuli ndo palivyo? Kijijini tunapitwa na mengi sana

    Watu wa dar wanafaidi sana maisha, Yani nimenussa tu hili jiji maajabu ni mengi sana. Hivi kule kijijini nanjilinji kunaweza kuja kua kama hapa mbezi? Daah dunia haiko sawa kabisa. Nimeshangaa bugurudi unavuka barabara kwa juu, haya ubungo ndo kuzidi. Nimepewa tenda ya kumsindikiza dogo tengeru...
  3. Pdidy

    Wale wa Ubungo, Kimara na Mbezi jiandaeni na foleni kuanzia Septemba 2, 2024

    Kwa wale mnaokaa huko mjipangee ujenzi unaoendeleea wameshauri wafunge upande mmoja. Upande mwingine mtaelekezwa jinsi ya kupita na magari yenu. Ushauri ni kama hamna umuhimu wa kwenda na gari mjini panda mwendokasi. Vijana wakiwa na nguo za njano reflector watakuwa pale kuwasaidia...
  4. M

    KERO Stendi ya Mbezi Magufuli hakuna maji siku ya pili leo

    Stendi ya Mbezi Magufuli leo siku ya pili hakuna huduma ya maji, hali si hali kwani abiria wanapata tabu, na watu wanaofanya shughuli zao humu ndani na nje ya stendi kadhalika. Hali imekuwa mbaya kiasi cha watu kuambiwa wajisaidie haja ndogo tu na si haja kubwa kutokana na kukosekana maji licha...
  5. Yoda

    KERO Serikali wapangeni wafanyabiashara wa Mbezi Magufuli kwenye maeneo maalumu ya biashara

    Kwanini wafanyabiashara wa stendi ya Magufuli Mbezi wameachiwa kufanya biashara zao kwa kuzurura ndani ya stendi na kupanga biashara kila mahali wakati kuna majengo ya kufanyia biashara? Kuna wafanyabiashara wanauza bidhaa zao karibu kabisa na milango ya vyoo jambo ambalo sio zuri kiafya. Ni...
Back
Top Bottom