mbezi shule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    KERO Mataa ya Mbezi Shule kila leo hayafanyi kazi, foleni eneo hili ni kero kubwa

    Wakuu, Eneo hili nadhani lishasemwa sana mpaka nimekuwa sugu. Au ni kitege uchumi? Madereva wafanye makosa muende kukusanya hela ya skukuu? Mamlaka husika embu fanyeni kweli bana, hii sehemu inakera sana kama mataa hayafanyi kazi.
Back
Top Bottom