Mbezi Stendi ya Malamba, Darajani, jengo la Abiria Stendi ya Magufuli na Gereji yake kunanuka mikojo
Nimepita Mbezi Luis maarufu kwa jina la Mbezi Mwisho, nikitokea Kinyerezi, nimeshuka Stendi ya chini maarufu kama Stendi ya Maramba nikapandisha ngazi kuelekea Stendi ya Daladala, maeneo mengi...