mbingu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Yesu aliumba Mbingu na Nchi

    Maandiko haya yote yanathibitisha nafasi ya Yesu Kristo katika kazi ya uumbaji. Yohana 1:1-3 "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwa kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika." Wakolosai 1:15-17 "Kwa kuwa...
  2. K

    Tukilinganisha Wasira na Heche! Ni Mbingu na Ardhi

    Baada ya wazee wenye maono kama Pinda na Mama Makinda kukataa kazi ambayo itafanya historia yao iharibike ya kuwa makamu wa CCM kwenye chama ambacho kwa sasa kinategemea Polisi na usalama kushinda. CCM imemchagua mzee wasira mwenye miaka 80 na anasahau mpaka wajukuu zake majina. Kwa ufupi...
  3. KING MIDAS

    Japan wako mbingu ya saba, miaka laki moja mbele ya CCM

    # Tokyo Flood Tunnels, an underground engineering marvel that protects the city from flash floods. # # These tunnels, located beneath Tokyo’s bustling streets, are a stunning example of modern Japanese engineering. # # They not only channel rainwater away from urban areas, but also provide...
  4. M

    Hekalu la mbingu duniani”heaven on earth”.

    Hili hekalu la mbingu duniani linaanza kuwa tishio kwa akina mwamposa. Huyu profet upepo unavuma kuelekea kwake. Hivi hawa waumini hasa wanawake ni hao hao wapo na makanisa mengine ama wao wanajitegemea tu. Yaan hakuna intersection ya waamini na madhehebu wanayohudhuria.
  5. Chilojnr

    ENOKO: Duniani mpaka mbingu ya 10

    Ukisoma kwenye Biblia, ni watu wawili tu ndiyo ambao hawakuwahi kuonja mauti, nao ni Nabii Eliya na Enoko. Mungu hakutaka kuwaua, aliwatwaa na kuwapeleka mbinguni. Sasa kama ilivyo kwa manabii, wafalme wa zamani na watumishi wengine kuandika vitabu vyao, basi naye Enoko aliandika kitabu chake...
  6. U

    Anthony Lusekelo adai Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na masikini kuikosa mbingu ni 99.9%,

    Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo "Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije...
  7. T

    Asante Mungu muumbaji wa Mbingu na Ardhi kwa wema na Rehema zako

    Namshukuru Mungu kwa wema wake kwangu. Pamoja na changamoto mbalimbali ninazopitia hapa duniani, bado wema wake ni mkuu mno kwangu. Ndugu wasomaji wa ujumbe huu, nawasihi tuwe na tabia/desturi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu hata kwa kidogo tulichopewa. Shukrani hufungua milango mingine ya baraka...
  8. Suzy Elias

    Pre GE2025 Ushawishi wa Makonda ni mbingu na ardhi na wa Nchimbi

    Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kuwa Makonda ana nyota ya ushawishi kuliko SG Nchimbi. Hata ukifuatilia namna mapokeo ya hadhira inayo hudhuria mikutano yao, wazi huwezi kuchelewa kung'amua hilo. Pamoja na wengi kumpuuza Makonda, lakini ukweli ni kwamba anao ushindi ulio bayana lijapo suala...
  9. Kasiano Muyenzi

    Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!

    Ushatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k. Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa huko hawatumii fuso wala gari la aina yoyote ile bali hutumia fisi. Jaribu kutumia Fisi kama...
  10. Majok majok

    Mbingu na ardhi vimejitenga rasmi, kelele nyingi na propaganda uchwara avichezi mpira uwanjani!

    Nafikiri Sasa jibu limepatikana ya kwamba ukija kucheza na yanga usije kichwa kichwa Kama vile unaenda harusini, unaweza kupigwa kipigo Cha mbwa mwizi kwa maana wanao wachezaji wenye ubora mkubwa sana hasa hasa viungo wao ni hatari kuliko corona! Simba wameingia kucheza Kama vile wanacheza na...
  11. Maalim Raphael

    Ushoga katika taifa la Israeli

    Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu. Katika Biblia katazo la kushiriki mahusiano ya jinsia moja linapatikana katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22 "𝑼𝒔𝒊𝒍𝒂𝒍𝒆 𝒏𝒂 𝒎𝒕𝒖 𝒌𝒂𝒎𝒂 𝒎𝒕𝒖...
  12. mama D

    Zumaridi asichukuliwe kimasihara, imani ni kitu kikubwa sana inahuisha na imani inaua Watanzania tuamke

    Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele. Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎 Inatisha...
  13. T

    Nawakumbusha tena, mbingu ni yetu sote, ili ufike huko, lazima ufe, ku wapi kufurahia afapo mtu? Wazuri hawafi ni kauli ya kijinga!

    Kuchekelea na kufurahia anapokufa mtu hata kama huyo mtu alikuwa adui yako, bado ni ujinga! Kauli ya wazuri hawafi, ilikuwa ni kauli moja Wapo kutoka kwa mtu mjinga aliyesahau kuwa naye iko siku na wakati asioujua atakufa! Mbingu ni ya kila mtu na ingawa inawahusu wanyoofu wa moyo, na ili mtu...
  14. Kinengunengu

    Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

    Nimeona watu wengi humu JF wakimponda na kumkashfu Mwalimu Mwakasege baada ya kusema Mungu alimfunulia kuhusu mbingu na kwenda Mbinguni. Binafsi nadeclare interest kuwa ninatumika Kanisa la TAG kama Mzee wa Kanisa huku Nyanda za juu kusini pia ni Mtumishi wa Serikali na huwa nahubiri mara moja...
  15. Songambele

    Milioni 5 kwa goli na 10% mikopo kwa wanawake/vijana/wenye ulemavu ni Mbingu na Ardhi

    Bravo Madame Presidaa kwa kuhaidi na kutoa sh. 5 M kwa kila goli linalofungwa katika mashindano ya CAF. Beyond reasonable doubt matokeo tumeyaona na timu zetu ziko robo fainali, hii kitu ilifanyika kwa wakati sahihi na timu nzima ya utekelezaji ilisimama katika malengo, niungane na watanzania...
  16. mdukuzi

    Kama mbingu ipo Pompeo na Hanspope wako wanazichapa ngumi kavukavu huko mbinguni

    Visa vya John Pompeo viko zaidi ya milioni Mwaka 2013 ,bosi wa chama cha wamiliki wa malori aliingia kwenye mikwaruzano na waziri wa ujenzi enzi hizo.bwana Pompeo Iko hivi kulikuwa na sheria kuwa malori yakizidisha uzito kwenye mzani kama uzito huo hauzidi asilimia tano basi yangesamehewa,ila...
  17. Binadamu Mtakatifu

    Ukicheka umba mbingu yako simo

    .
  18. Planett

    Mwana JF ambae huzijui hizi threads mbingu ni yako

    Wakuuu kama kuna member ambae kiukweli hajawahi zama kwenye hizi thread I swear it will be easy kwake kuiona mbingu. Nawasilisha. (1)Uzi wa watoto wazuri worldwide. Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies (2)Uzi wa wazee wa kula tunda...
  19. V

    Mnaofahamu, hali ya biashara ipoje maeneo haya kwa anayetaka kufanya biashara ya ubebaji wa mizigo ya mazao?

    Kuhusu Chita, Mlimba, Turiani, Mngeta, Mbingu, n.k mkoani Morogoro Habari wapendwa na poleni kwa majukumu ya kila siku! Baada ya salam niende kwenye jambo husika. Kuhusu hayo maeneo tajwa hapo juu na mengine yafananayo na hayo kwa kilimo cha mpunga hapa tz, napenda kufahamu kutoka kwa wadau...
  20. Mshana Jr

    Mamlaka ya kiroho ndani ya mbingu - je, yalikuwa na pande mbili?

    Inaandikwa kwamba, basi Bwana Mungu akasema. NA TUUMBE MTU kwa mfano wetu. Hapa Bwana Mungu hakuwa pekeyake... Kulikuwa na mamlaka kamili ya kiroho juu mbinguni yaliyokuwa yanaongozwa na Mungu mwenyewe. Tafsiri nyingine ni kwamba tayari huko mbinguni kulikuwa na maisha mengine ya kiroho mpaka...
Back
Top Bottom