Ukisoma kwenye Biblia, ni watu wawili tu ndiyo ambao hawakuwahi kuonja mauti, nao ni Nabii Eliya na Enoko. Mungu hakutaka kuwaua, aliwatwaa na kuwapeleka mbinguni.
Sasa kama ilivyo kwa manabii, wafalme wa zamani na watumishi wengine kuandika vitabu vyao, basi naye Enoko aliandika kitabu chake...