Asalaam alaykum.
Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri mkubwa sana, wa pesa za masharti ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nadharauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa hata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye moyo wakusaidia watu kama mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.