📖MHADHARA WA 28:
SHERIA 1: Mponde kabisa adui yako
Hii ni SHERIA YA 15 kati ya zile SHERIA 48 zilizoandikwa na ROBERT GREENE katika kitabu chake cha "THE 48 LAWS OF POWER"
Mapitio:
Waponde adui zako kisawa sawa, usiende nao nusu nusu wala kuwapa chaguo lolote. Kumbuka ukiacha hata makaa moja...