Mwaka 2012 saa tatu usiku hivi, nikitembea pale Zakhem nikitafuta daladala za Chamazi. Na ule uharaka wa kutembea ghafla nikajikuta kama nimemkanyaga bwana mmoja (alijikanyagisha sikujua).
Basi akanishika begani huku akitweta kwa ghadhabu kuu "kwanini unanikanyaga bro, wajikuta nani labda... "...