Ili simba iweze kulevel gape la point 7 inatakiwa yanga apoteze mechi 2 na kudroo 1, ama apate droo 7 na simba ashinde mechi hizo tatu, je kwa yanga hii yenye kiu ya ubingwa inaweza kuruhusu ilo?
Azam nao wanakuja moto simba akikaa vibaya anaweza kushangazwa pia kwenye nafasi hiyo ya pili...