Leo tarehe 14 Juni ya mwaka huu ni Sikukuu ya mbio za mashua ya Dragon au sikukuu ya mbio za mashua ya joka, ambayo ni sikukuu ya jadi ya China. Sikukuu hii ambayo imewekwa kwenye orodha ya urithi wa utamaduni usioonekana ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO, si...