Dodoma inazidi kukua kwa kasi, baadhi ya vinavyochangia ukuaji huo ni uwepo wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tangu Mwaka 2007 na Serikali kufanya maamuzi ya kuwa Makao Makuu kwa vitendo.
Ukuaji huu wa kasi umesababisha ongezeko la mahitaji ya ardhi kwa ajili ya makazi na biashara, huku baadhi ya...
Shirika lisilo la Kiserikali la Relief to Development Society (REDESO) linaendesha Mafunzo ya Matumizi ya Nishati Safi na salama kwa makundi ya Mama lishe, Wakulima wa mbogamboga na madereza wa Bodaboda 250 yenye lengo la kubadili mtazamo wa Matumizi ya Nishati chafu kuunga Mkono jitihada za...
Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao.
Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akaanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
Ni siku nyingine natumaini mnaendelea vyema na mapumziko
Nimeona niweze kushare na nyie jinsi ya kupika wali huu mtamu na unaonukia vizuri
Mahitaji
Hoho,karoti,iriki iliyosagwa au hata nzima,binzari nyembamba,kitunguu na njegere,chumvi,tui la Nazi mchele,chumvi na mafuta ya kula
Hatua ya...
Jana sio mara ya kwanza ni uzoefu wa mara nyingi sana mbogamboga kukimbia midahalo ya live.
Kiufupi hawa jamaa ni vilaza wa kutupwa.
Muwe na jpl njema,hakuna ondoleo la dhambi bila damu ya kristo Yesu.
Hali ya mazingira katika Soko la Mbogamboga na Matunda Sabasaba ni mbaya, eneo la kuingia sokoni hapo limejaa maji na taka nyingi zimerundikwa hapo.
Kama mamlaka husika hazitashughulikia jambo kuna uwezekano mkubwa wa wafanyabiashara na wateja wanaotembelea soko hilo wakakumbwa na magonjwa ya...
Kuna vitu na mambo yanayopendwa sana hapa duniani ambavyo sio dhambi lakini ni kuwa hivyo vyote havitakuwepo. Kwa mfano sisi tunaopenda misosi mitamu kama ile ya Shishi food, white rose na Marry brown ni kuwa haitakuwepo. Kitu nachosikia kinatajwa tajwa ni maziwa na asali. Pia huenda kikawepo...
Shirika la Reli Tanzania - TRC na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani - WFP limepokea taarifa ya utafiti wa usafirishaji wa mazao ya mbogamboga na matunda kwa njia ya reli kutoka katika Kampuni ya Innovex Development Consultant Limited kwenye kikao kifupi kilichofanyika katika ukumbi wa...
Habari zenu!
Jana wakati narudi zangu nyumbani usiku nikakatisha mtaa wa Nzasa unapokutana na Mtaa wa Morogoro hapa ilala ,jijini dar-es-salaam nikakutana na rundo la takataka .Ni muda takribani wiki sasa halmashauri ya jiji imeshindwa kazi ya kulifanyia usafi soko kuu la mbogamboga la ilala...
Jipatie mbegu za mbogamboga OPV na siyo HYBRID, zinaota vizuri na zinazaa sana.
Tunauza kwa bei ya jumla kuanzia kilo 10. Mzigo unatumwa popote kwa uaminifu mkubwa.
Piga/sms/Whatsapp 0752042670
1: mchicha aina zote
2: matango (aina ya Ashley)
3: Nyanya (aina ya tengeru na riogrande)
4...
Habari,
Ninahitaji mbegu F2 za mbogamboga zifuatazo.
CARROTS
SPINACH (Fordhook Giant)
SUKUMAWIKI (Collards Green)
BEETROOTS
Nachukua mpaka kilo 50 kwa kila aina ya mbegu
0752042670
Habari zenu wakuu,
Ndugu yenu nimekuja hapa nina jambo, wale wataalam wa bustani, wenye uzoefu ama ujuzi katika harakati hizi nahitaji mawili ma3.
Ndugu yenu nataka nianze kulima bustani nimetenga eneo la hekari kama 2 hivi, nishafanikiwa kuchimba na kisima, naendelea kukifukua nipate maji ya...
DRAFT 1
MATUMIZI
Gharama zisizojirudia kila msimu
1.Shamba: Kukodi laki moja kwa ekari moja. Hapa litakodiwa hekari mbili.
2.Kisima: Gharama ya kuchimbiwa ni milioni mbili.
3.Unatakiwa kuwa na sola, umeme au jenereta. Cost will vary depend on the chosen alternative.
4.Pump (Horse Power 2)...
JE, MAJI WANAYO TUMIA KUMWANGILIZIA NA KUOSHEA MCHICHA UNAOKULA UNAYAJUA?
Siku moja nilipata wasaa wa kutembelea maeneo ya Buguruni-marapa,Dar es salaam katika bonde kubwa ambalo watu wa maeneo ya pale utumia kulima mbogamboga.
Furaha yangu ilifika kiwango cha juu sana baada ya kukutana na...
Habari,
Naomba kufahamu kwa wazoefu wa mkoa wa lindi, ni wilaya gani ina maji ya kumwagilia. Na kilimo cha mbogamboga huko kinafaa kufanyika. Ufugaji, ni wanyama gani wa kufugwa na ndege wenye soko zuri.
Naomba maelekezo kabla sijaenda huko kikazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.