mbogamboga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO Mifugo inagoma kunywa maji yanayotoka Bwawa la Swaswa (Dodoma) lakini yanatumika kumwagilia mbogamboga

    Dodoma inazidi kukua kwa kasi, baadhi ya vinavyochangia ukuaji huo ni uwepo wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tangu Mwaka 2007 na Serikali kufanya maamuzi ya kuwa Makao Makuu kwa vitendo. Ukuaji huu wa kasi umesababisha ongezeko la mahitaji ya ardhi kwa ajili ya makazi na biashara, huku baadhi ya...
  2. Mama Lishe, Wakulima wa Mbogamboga na Bodaboda wapewa mafunzo ya Matumizi ya Nishati Safi kutoka REDESO

    Shirika lisilo la Kiserikali la Relief to Development Society (REDESO) linaendesha Mafunzo ya Matumizi ya Nishati Safi na salama kwa makundi ya Mama lishe, Wakulima wa mbogamboga na madereza wa Bodaboda 250 yenye lengo la kubadili mtazamo wa Matumizi ya Nishati chafu kuunga Mkono jitihada za...
  3. S

    Wauza mbogamboga ndiyo wanawake wa kuoa

    Wanaijua shida, kwasabb kucha kutwa kiguu na njia, jua na mvua ni vyao. Ukimuoa mwanamke wa hivi, ukamuweka ndani akaanza kula akiwa kivulini utanishukuru.
  4. Jinsi ya kupika wali wa mbogamboga(wali wa maua) wa Nazi

    Ni siku nyingine natumaini mnaendelea vyema na mapumziko Nimeona niweze kushare na nyie jinsi ya kupika wali huu mtamu na unaonukia vizuri Mahitaji Hoho,karoti,iriki iliyosagwa au hata nzima,binzari nyembamba,kitunguu na njegere,chumvi,tui la Nazi mchele,chumvi na mafuta ya kula Hatua ya...
  5. Ukiondoa kikimbia midahalo mbogamboga wana baki na nini?

    Jana sio mara ya kwanza ni uzoefu wa mara nyingi sana mbogamboga kukimbia midahalo ya live. Kiufupi hawa jamaa ni vilaza wa kutupwa. Muwe na jpl njema,hakuna ondoleo la dhambi bila damu ya kristo Yesu.
  6. A

    KERO Kero ya uchafu Soko la Mbogamboga na Matunda ni kubwa Dodoma

    Hali ya mazingira katika Soko la Mbogamboga na Matunda Sabasaba ni mbaya, eneo la kuingia sokoni hapo limejaa maji na taka nyingi zimerundikwa hapo. Kama mamlaka husika hazitashughulikia jambo kuna uwezekano mkubwa wa wafanyabiashara na wateja wanaotembelea soko hilo wakakumbwa na magonjwa ya...
  7. Je, unapenda pilau kuku, biriani mbuzi, nyama choma, makange ya samaki, ugali dagaa na mbogamboga? Mbinguni hazitakuwepo.

    Kuna vitu na mambo yanayopendwa sana hapa duniani ambavyo sio dhambi lakini ni kuwa hivyo vyote havitakuwepo. Kwa mfano sisi tunaopenda misosi mitamu kama ile ya Shishi food, white rose na Marry brown ni kuwa haitakuwepo. Kitu nachosikia kinatajwa tajwa ni maziwa na asali. Pia huenda kikawepo...
  8. TRC na WFP imepokea Taarifa ya Utafiti wa Usafirishaji wa Mazao ya Mbogamboga na Matunda

    Shirika la Reli Tanzania - TRC na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani - WFP limepokea taarifa ya utafiti wa usafirishaji wa mazao ya mbogamboga na matunda kwa njia ya reli kutoka katika Kampuni ya Innovex Development Consultant Limited kwenye kikao kifupi kilichofanyika katika ukumbi wa...
  9. T

    Je, Halmashauri ya Jiji mnataka kutuletea kipindupindu wakazi tunaoishi karibu na Soko la Mbogamboga la Ilala? Njooni mzoe taka zenu

    Habari zenu! Jana wakati narudi zangu nyumbani usiku nikakatisha mtaa wa Nzasa unapokutana na Mtaa wa Morogoro hapa ilala ,jijini dar-es-salaam nikakutana na rundo la takataka .Ni muda takribani wiki sasa halmashauri ya jiji imeshindwa kazi ya kulifanyia usafi soko kuu la mbogamboga la ilala...
  10. Nauza mbegu za mbogamboga OPV

    Jipatie mbegu za mbogamboga OPV na siyo HYBRID, zinaota vizuri na zinazaa sana. Tunauza kwa bei ya jumla kuanzia kilo 10. Mzigo unatumwa popote kwa uaminifu mkubwa. Piga/sms/Whatsapp 0752042670 1: mchicha aina zote 2: matango (aina ya Ashley) 3: Nyanya (aina ya tengeru na riogrande) 4...
  11. Nahitaji mbegu F2 za mbogamboga

    Habari, Ninahitaji mbegu F2 za mbogamboga zifuatazo. CARROTS SPINACH (Fordhook Giant) SUKUMAWIKI (Collards Green) BEETROOTS Nachukua mpaka kilo 50 kwa kila aina ya mbegu 0752042670
  12. Naomba kuelimishwa jinsi ya kuandaa mazao tofauti pamoja na mbogamboga. Vitu gani vinauzika zaidi?

    Habari zenu wakuu, Ndugu yenu nimekuja hapa nina jambo, wale wataalam wa bustani, wenye uzoefu ama ujuzi katika harakati hizi nahitaji mawili ma3. Ndugu yenu nataka nianze kulima bustani nimetenga eneo la hekari kama 2 hivi, nishafanikiwa kuchimba na kisima, naendelea kukifukua nipate maji ya...
  13. D

    Mradi wa kilimo cha mbogamboga kwa umwagiliaji wa matone – Zanzibar

    DRAFT 1 MATUMIZI Gharama zisizojirudia kila msimu 1.Shamba: Kukodi laki moja kwa ekari moja. Hapa litakodiwa hekari mbili. 2.Kisima: Gharama ya kuchimbiwa ni milioni mbili. 3.Unatakiwa kuwa na sola, umeme au jenereta. Cost will vary depend on the chosen alternative. 4.Pump (Horse Power 2)...
  14. B

    Je kuna usalama kwa mlaji kwenye mbogamboga tunazonunua mitaani na sokoni?

    JE, MAJI WANAYO TUMIA KUMWANGILIZIA NA KUOSHEA MCHICHA UNAOKULA UNAYAJUA? Siku moja nilipata wasaa wa kutembelea maeneo ya Buguruni-marapa,Dar es salaam katika bonde kubwa ambalo watu wa maeneo ya pale utumia kulima mbogamboga. Furaha yangu ilifika kiwango cha juu sana baada ya kukutana na...
  15. Naomba ufafanuzi kuhusu kilimo cha mbogamboga mkoa wa Lindi

    Habari, Naomba kufahamu kwa wazoefu wa mkoa wa lindi, ni wilaya gani ina maji ya kumwagilia. Na kilimo cha mbogamboga huko kinafaa kufanyika. Ufugaji, ni wanyama gani wa kufugwa na ndege wenye soko zuri. Naomba maelekezo kabla sijaenda huko kikazi
  16. L

    Nahitaji kulima mbogamboga

    Hellow, guys Kwa walio mkoa wa Kilimanjaro na wenyeji ni aina gani ya mbogamboga zinahitajika kwa wingi endapo ukiwekeza kwenye mbogamboga.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…