Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) imetekeleza Agizo la Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso (Mb) la kuhakikisha huduma ya maji inarejea kwa wakazi wa Kata ya Mbokomu ifikapo Septemba 2, 2024.
Mamlaka imetekeleza agizo hilo kwa kuhakikisha miundombinu ya Majisafi iliyoharibiwa na...