Jana ilikuwa siku njema sana kwangu hii ni baada ya kusikia tamko la serikali kuhusu bei elekezi ya mbolea. Nasema nimekunwa sana Kwa sababu hili lilikuwa aibu kubwa mwaka Jana . Mimi ni mkulima wa mahindi mashamba yapo mkoani Rukwa.
Mwaka Jana nimeshindwa kumudu kabisa bei ya mbolea hekari...